Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kidude hakijawahi mkuu. Ukipiga funda unasikia kabisa huko ini linalalamikaHao jamaa kilichowaua sio Kwamba wamekunywa pombe feki ila kitaalamu kilichomuua uyo jamaa ni ALCOHOL OVERDOSE ndio MAANA wanasemaga KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO ATA BIA UKINYWA NYINGI ZINAKUUA PIA KWAIYO.MSITAKE KUHARIBU BRAND YA WATU HAO JAMAA WAMEJI OVERDOSE
Hiki kipombe ni hatari aisee. Ni eona vijana wanavisemea sana kuwa havifai.kuna dogo mmoja nilimpa burudani 3 amalize nimpe elfu 20.alimaliza ila hakulala siku hyo.hana hamu mpaka leo
Binafsi ni mnywaji sana wa pombe, lakini pombe ukuinywa haraka kama maji, lazima ikupeleke haraka sana.Haha wachaga bhana ,Kuna jamaa alikufakaga aliwekewa laki akasema mi bapa la konyagi na piga fundo moja A.K.A gudugudu akapiga fundo kweli kamaliza baada ya dakika moja ebhana niwekeeni kiti nikae kumbe ndio kalala jumla ..
.All in all pombe hazihitaji mashindano
Mkuu chache kama unakunywa mwendo wa jongoo. Ukiikata hotoboi.Tatizo ni lishe smart gin Tano ni chache sanaa
Naanto nowadays "Mbe" kaifuta