monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Acha uongoUislam ni mwema sana, unakataza kabisa pombe.
Tazama akili za pombe, watu wanajiua kwa elfu 50.
Nyie si ndio mnajitoaga muhanga, mnajilipua mnaua hata wasio na hatia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongoUislam ni mwema sana, unakataza kabisa pombe.
Tazama akili za pombe, watu wanajiua kwa elfu 50.
Duh! Kwani walimu wamefikia huko?!walimu
Kemikali yenye reaction ya nini.Ikikukataa umekwisha inaondoka na wewe, kuna watu wanajua kucheza nayo wakemia utawakuta wametulia na mizinga mikubwa wanaifuta hata 8/9/10 alafu wapo saafi kabisa
Acha uongo
Nyie si ndio mnajitoaga muhanga, mnajilipua mnaua hata wasio na hatia?
Dahhuyu sijui walimu walimfira puani
Fani yenu ya kuf$rana inatosha!!Kilimanjaro ni Tanzania, tunaona hao wamejitoa mhanga wa pombe kwa elfu 50 tu. Waislam hao?
Kwaio Dhambi pekee ni pombe ??!!! Je kichwa kingesomeka wafariki Kwa kwenye shindano la kula WALI NA MAHARAGE...Uislam ni mwema sana, unakataza kabisa pombe.
Tazama akili za pombe, watu wanajiua kwa elfu 50.
Uislam umefundisha wazi hata namna ya kula.Kwaio Dhambi pekee ni pombe ??!!! Je kichwa kingesomeka wafariki Kwa kwenye shindano la kula WALI NA MAHARAGE...
WANNE WAFA KATIKA SHINDANO LA KULA KILO MBILI ZA WALI NA MAHARAGE??
COMMENT YAKO INGEKUA VP.....
Pombe NDIO mbuzi wa kafara nimemwona mzee wangu anakunywa na hakuacha kuipenda na kujali sana familia...
DeludedUislam umefundisha wazi hata namna ya kula.
Pombe ni haramu Kiislam, haina mjadala.
Uislam ni mwema sana.
Npwayungu kwani wewe ni Simba au Azam?Umasikin ni mbaya sana mungu atusaidie, unadhalilika na kukumbwa na magonjwa nyemelezi Kwa kukosa lishe bora mwisho unakuwa mwehu kama walimu
I understand you are deluded, come to reality come to Islam.Deluded
Powaa Kila mtu aamini anacho kiamini....I understand you are deluded, come to reality come to Islam.
Wewe unaamini nini?Powaa Kila mtu aamini anacho kiamini....
All in all MUNGU Hana dini.....................
Amani ya bwana itawale
Kila la kheli dada
= kherikheli
Hauzidi Ukristo kwa WemaUislam ni mwema sana.
Vipi hili la pombe? Naamini ukristo utakuwa na mafundisho mema sana kwalo.Hauzidi Ukristo kwa Wema
Pombe sio sigara.Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda.
Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya watu hao kuahidiwa na mtu anayedaiwa kuwa mfanyabiashara wilayani humo, ambaye sasa ametoroka.
Inadaiwa kuwa mtu huyo aliwaahidi kuwapa zawadi hizo na mpaka mmoja anafariki walikuwa wameshakunywa chupa tano kati ya tisa zilizokuwa zikishindaniwa.
Hata hivyo, baada ya kumaliza kunywa chupa tano hali zao zilianza kuwa mbaya na wengine kupoteza fahamu ambapo baadaye waliokolewa kwa kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha kupata msaada wa dharura.
Mkuu wa wilaya ya Siha, Christopher Timbuka alimtaja aliyepoteza maisha kuwa ni Benson Mshiri, mkazi wa Kijiji cha Merad na kwamba waliolazwa hali zao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na muda wowote wataruhusiwa kwenda majumbani.
Mwananchi