cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna dogo mmoja nilimpa burudani 3 amalize nimpe elfu 20.alimaliza ila hakulala siku hyo.hana hamu mpaka leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna dogo mmoja nilimpa burudani 3 amalize nimpe elfu 20.alimaliza ila hakulala siku hyo.hana hamu mpaka leo
😂😂😂Leo nmejikuta kujicheka,mkuu tusamehe kama tushawahi kukukwaza🤣Umasikin ni mbaya sana mungu atusaidie, unadhalilika na kukumbwa na magonjwa nyemelezi Kwa kukosa lishe bora mwisho unakuwa mwehu kama walimu
Mashujaa/majembe ya unyanyembe hayo 🤣Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda.
Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya watu hao kuahidiwa na mtu anayedaiwa kuwa mfanyabiashara wilayani humo, ambaye sasa ametoroka.
Inadaiwa kuwa mtu huyo aliwaahidi kuwapa zawadi hizo na mpaka mmoja anafariki walikuwa wameshakunywa chupa tano kati ya tisa zilizokuwa zikishindaniwa.
Hata hivyo, baada ya kumaliza kunywa chupa tano hali zao zilianza kuwa mbaya na wengine kupoteza fahamu ambapo baadaye waliokolewa kwa kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha kupata msaada wa dharura.
Mkuu wa wilaya ya Siha, Christopher Timbuka alimtaja aliyepoteza maisha kuwa ni Benson Mshiri, mkazi wa Kijiji cha Merad na kwamba waliolazwa hali zao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na muda wowote wataruhusiwa kwenda majumbani.
Mwananchi
Usije ukajaribu kaka.Shida hapo ilikuwa chakula,smat Gin ukila vizuri unapiga hata chupa kumi bila shida
Kuna wenzio hio wanaipata kwa tabu sana tena kwa mbinde kiasi Cha kudhulumiwa utu wao, kujidhalilisha na kutendewa vibaya kisa 50k50k njaa kali kweli?
Pombe sio chai wandugu.Haha wachaga bhana ,Kuna jamaa alikufakaga aliwekewa laki akasema mi bapa la konyagi na piga fundo moja A.K.A gudugudu akapiga fundo kweli kamaliza baada ya dakika moja ebhana niwekeeni kiti nikae kumbe ndio kalala jumla ..
.All in all pombe hazihitaji mashindano
Bado wanaendelea kufukuliwa huko GalisaHawana tofauti na wale waliodanganywa waache kula ili wafe waende mbinguni.
Niliambiwa huo mkoa wote ni matajiriKuna wenzio hio wanaipata kwa tabu sana tena kwa mbinde kiasi Cha kudhulumiwa utu wao, kujidhalilisha na kutendewa vibaya kisa 50k
Kuna jamaa mwingine alivuta hapa hapa Dar hizo hizo Smart GIN Ila haikwenda kwenye media imeisha chini kwa chiniPombe sio chai wandugu.
Hakuna Mkoa ambao hauna watu wa kipato Cha chini mikoa yote kuna wenye nacho na wasio nachoNiliambiwa huo mkoa wote ni matajiri
Hakuna kitu sikipendi kama pombe.Kuna jamaa mwingine alivuta hapa hapa Dar hizo hizo Smart GIN Ila haikwenda kwenye media imeisha chini kwa chini
Pombe iache iitwe PombeHakuna kitu sikipendi kama pombe.
DaaahPombe iache iitwe Pombe
Ikikukataa umekwisha inaondoka na wewe, kuna watu wanajua kucheza nayo wakemia utawakuta wametulia na mizinga mikubwa wanaifuta hata 8/9/10 alafu wapo saafi kabisaDaaah
Mtu mmoja huyo ,umetujumuisha wachaga woote?Kuna mzee wa kichaga alitutukana sisi wameru vijana hatuna akili tunauza ardhi tununue boda.aje aone hizi mbuzi za kwao [emoji1787][emoji1787]
Jamaa aliekufa hapa Dar na chanzo ni smart GIN alikua mchaga pia mwili ulisafirishwa ni majuzi tu hapa, ukifakamia kwa Pupa zinakuuaMtu mmoja huyo ,umetujumuisha wachaga woote?