Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

Acha uongo!
ini (liver) lipo nje ya ukuta wa tumbo.
Kwamba likatike liingie ndani ya tumbo kisha atapike?
What the Heck man!
eti baba si nimesemai kuwa ni observation yangu isiyo ya kidaktari. Aise, mbona we kijana ni mwepesi wa kuelewa sana, eti dactari!! Nashukuru kwa elimu mujarabu, pia basi ile itakua ni damu
 
kuna dogo mmoja nilimpa burudani 3 amalize nimpe elfu 20.alimaliza ila hakulala siku hyo.hana hamu mpaka leo

Bora umpe mtihani kwamba hawezi kufanya kitu fulani afanye umpe hiyo hela au ashindwe kuliko kuchezea vitu vya hatari kama hivyo.

Hii nchi kila kitu fake unaweza kukuta hiyo burudani ni vya wale Wachagha wa Manzese ukauwa mtoto wa mtu ukabaki na lawama.
Burudani ni nini
 
Acha uongo!
ini (liver) lipo nje ya ukuta wa tumbo.
Kwamba likatike liingie ndani ya tumbo kisha atapike?
What the Heck man!
eti baba si nimesemai kuwa ni observation yangu isiyo ya kidaktari. Aise, mbona we kijana ni mwepesi wa kuelewa sana, eti dactari!! Nashukuru kwa elimu mujarabu, pia basi ile itakua ni damu maana hak
 
Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda.

Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya watu hao kuahidiwa na mtu anayedaiwa kuwa mfanyabiashara wilayani humo, ambaye sasa ametoroka.

Inadaiwa kuwa mtu huyo aliwaahidi kuwapa zawadi hizo na mpaka mmoja anafariki walikuwa wameshakunywa chupa tano kati ya tisa zilizokuwa zikishindaniwa.

Hata hivyo, baada ya kumaliza kunywa chupa tano hali zao zilianza kuwa mbaya na wengine kupoteza fahamu ambapo baadaye waliokolewa kwa kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha kupata msaada wa dharura.

Mkuu wa wilaya ya Siha, Christopher Timbuka alimtaja aliyepoteza maisha kuwa ni Benson Mshiri, mkazi wa Kijiji cha Merad na kwamba waliolazwa hali zao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na muda wowote wataruhusiwa kwenda majumbani.

Mwananchi
Upelelezi unaendelea
 
Mashindano ya kijinga na kipuuzi sana. Classmate wangu moja pia majuzi mwezi April kijijini ametoka shamba kapitia kilabuni kakuta mabishano juu ya nani anaweza kumaliza k-Vant kubwa anunuliwe? Akajitokeza, na njaa yake na ulafi wake akaifakamia within 2minutes kaimaliza na aft10minutes akatapika damu mambonge mabonge ( kwa observation yangu isiyo ya kidaktari ni Maini yamekatikakatika) na akawa no more in20 minutes. Na hadidhi yake ikaishia apo.
So, Friends, ladies and gentlemen pombe si chai, na haina mashindano. Hebu kunywa kiasi kistaarabu utainjoy sana. Haiuzwi kwa aliye chini ya Miaka18. Pole kwa wafiwa, pole sana kwa ambao pia wamepata madhara baada ya kufakamia Gin.
Wewe jamaa main yalipitaje mwenye utumbo!? Hiyo in damu tu iliyoganda
 
Wangekufa wote tu.
Mlevi akifa nafurahi sana
 
Sungura sio Dili

Sasa amekimbia Ili iwaje ,akati walikbaliana washindane kunywa na sio kufa
 
Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda.

Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya watu hao kuahidiwa na mtu anayedaiwa kuwa mfanyabiashara wilayani humo, ambaye sasa ametoroka.

Inadaiwa kuwa mtu huyo aliwaahidi kuwapa zawadi hizo na mpaka mmoja anafariki walikuwa wameshakunywa chupa tano kati ya tisa zilizokuwa zikishindaniwa.

Hata hivyo, baada ya kumaliza kunywa chupa tano hali zao zilianza kuwa mbaya na wengine kupoteza fahamu ambapo baadaye waliokolewa kwa kukimbizwa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha kupata msaada wa dharura.

Mkuu wa wilaya ya Siha, Christopher Timbuka alimtaja aliyepoteza maisha kuwa ni Benson Mshiri, mkazi wa Kijiji cha Merad na kwamba waliolazwa hali zao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na muda wowote wataruhusiwa kwenda majumbani.

Mwananchi
Sifa za kijinga zinatugharimu sana Wabongo.Ukiacha kupewa pesa lkn Wengine hushindana tu na kupeana sifa za kijinga.
 
Bora umpe mtihani kwamba hawezi kufanya kitu fulani afanye umpe hiyo hela au ashindwe kuliko kuchezea vitu vya hatari kama hivyo.

Hii nchi kila kitu fake unaweza kukuta hiyo burudani ni vya wale Wachagha wa Manzese ukauwa mtoto wa mtu ukabaki na lawama.
ni kweli.jasho lilipoanza kumtoka mimi mwenyewe nikaanza kuogopa.
 
Back
Top Bottom