Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

Kile kidude hakijawahi mkuu. Ukipiga funda unasikia kabisa huko ini linalalamika
 
Yale ya kunywa bapa Kwa mkupuo si yalipigwa ban na yenyewe. Maana mshindani anavyoshusha chupa na yeye alikuwa anashuka chini. HATARI SANA MAISHA HAYA.
 
Binafsi ni mnywaji sana wa pombe, lakini pombe ukuinywa haraka kama maji, lazima ikupeleke haraka sana.
 
Nakumbuka Kuna miaka ya 2008-10 kulikuwa na mashindano ya kukaa kwenye chumba chenye joto Kali, ulimwenguni huko, aiseee huu upumbavu siyo huku tu, alikufa mtu. Chumba kilikuwa na nyuzi joto 120. Aisee Dunia Ina mambo hii.
 
Kuna ile series ya Korean ilizungumzia jinsi binadamu wa sasa anavyoweza kuuza utu wake kwaajili ya tamaa ya pesa, Mule watu wanakufa kama kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…