Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo riba ifike milion 4.8?Hapo kutakuwana kitu kinaitwa bima ya mkopo wamekata na pia kitu kinaitwa processing fee wanakata
kulipa ndo mtihan siyo kukopaKukopa mthihani sana
Inamaana ukikopa 5000,000 utapewa 480000 then utarudisha 5400000mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5
Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
Kukopa mthihani sana
😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂Lala mkuu mambo ya kikotoo tutakuja kujadili asubuhi. Saa hii naona ndo kwanza zinapanda tu😢
kwann wakupe mil 4.8Inamaana ukikopa 5000,000 utapewa 480000 then utarudisha 5400000
Bima ya mkopo unakatwa, pamoja na processing fee..kwann wakupe mil 4.8
Inapiga Kama Ngomaukikopa miaka 9,marejesho ni sawa na hela uliyokopa,,yaani ukikopa mili 31,unarejesha jumla mili 59.
Kwanini wakate hela ya bima kwenye hela yako as if hiyo bima inakucover wewe?Bima ya mkopo unakatwa, pamoja na processing fee..
vp kama nikikopa milion 20 kwa miaka miwili tu rejesho litakuwa kiasi gani ndani ya hio miaka miwili.?ukikopa miaka 9,marejesho ni sawa na hela uliyokopa,,yaani ukikopa mili 31,unarejesha jumla mili 59.
hio Bima kazi yake ni ipi kwenye mkopo.. ikiwa nikishindwa kulipa mkopo si wanapiga mnada dhamana niliyoweka.!Bima ya mkopo unakatwa, pamoja na processing fee..
bima ni kwa wafanyakazi wa serikali,mfano akifariki.hio Bima kazi yake ni ipi kwenye mkopo.. ikiwa nikishindwa kulipa mkopo si wanapiga mnada dhamana niliyoweka.!
Ndo nacho kamuliwa hadi mavi mimi bila kupanda kazi nakuongezwa hela ningeacha kazi abadaniukikopa miaka 9,marejesho ni sawa na hela uliyokopa,,yaani ukikopa mili 31,unarejesha jumla mili 59.