Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #21
ulikopaNdo nacho kamuliwa hadi mavi mimi bila kupanda kazi nakuongezwa hela ningeacha kazi abadani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikopaNdo nacho kamuliwa hadi mavi mimi bila kupanda kazi nakuongezwa hela ningeacha kazi abadani
Sio 9, ni 6 tuukikopa miaka 9,marejesho ni sawa na hela uliyokopa,,yaani ukikopa mili 31,unarejesha jumla mili 59.
vp kama nikikopa milion 20 kwa miaka miwili tu rejesho litakuwa kiasi gani ndani ya hio miaka miwili.?
mkopo wa binafsi wa mwaka mmoja wa sh milion 5
Hapo chini wameandika kiasi milion 4 na laki nane?? ndo nn
Sio 9, ni 6 tu
16% × 6 =96%
Wanakata kwenye hela yako kwa sababu inakucover weweKwanini wakate hela ya bima kwenye hela yako as if hiyo bima inakucover wewe?
Nadhani kaja kushea uzoefu,,, masna imekua faida kwa wengine, tuliokua hatujui kitu kuhusu mikopoKinachonisikitisha ni kwamba anayekopa ni Mteja wa NMB, Ameacha kuuliza hzo calculations uko amekuja kuuliza JF!!!
Ninachokijua kabla ya kupewa pesa hesabu zote, masharti yote na maelezo ya kutosha Mteja anapatiwa sasa sijaelewa Unakwama wapi na Bado muda unao kwenda office zilizo jirani nawe na kuuliza... Ikiwa hautaki hzo calculations basi USIKOPE MBONA SIMPLE TU..