Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Kazi yake ya nini?
Kama haumo kwenye directorate wewe ni agent ambae hutakiwi kutambuliwa kisheria.
Kufichua identity ya agent ni punishable event.
Marehemu ana ndugu na jamaa, pia ana wananchi ambao usalama wao hapo umetishiwa. Huwezi kumu-expose agent ukasema umefanya jambo la maana. Huo utakua upuuzi.
Kwa wenzetu, huyo mwandishi angeshatiwa nguvuni. Ila kwetu tunadhani ndiyo uhuru wa habari.
 

Usemayo ni kweli tena miongoni mwao wapo wale wanaojihusisha uokovu wa maisha yetu kila siku sijui wanaitwa nani vile!!??Huwa wanavaa sare nyeupe hivi.Wengine ni wale wanaovaa rozali kifuani ambao hujulikana kama wachunga kondoo wa bwana hususan wa kutoka lile dhehebu flani lenye nguvu na ushawishi mkubwa wa kisiasa hapa nchini.Ogopa sana watu hawa.Hii nchi ni zaidi ya uijuavyo.
 
alipostukia kua kuna watu wanamfuatilia baada ya kupata mzigo pale uwanja wa ndege,akaamua kutaka kutoroka kwa gari yake, sasa wakati anatoka,foleni ya kuingia nyerere road ndio iliharibu,katika harakati za kujiokoa akatanua,bahati mbaya gari ikakwama pembezoni mwa barabara katika kamtaro,hapo ndio jamaa waliokua wanamfuatilia na boxer wakapata nafasi ya kumfuata katika gari na kumchapa risasi na kisha kutokomea na briefcase ambayo ndani yasemekana kulikua na hela nyingi na sembe.
 
Tatizo kubwa la hawa jamaa wanatumia taasisi hii kushiriki kwny deal chafu so unaweza kuta kauwawa na wacheza deal wenzake!
 
na dr.slaa atulie sasa. Ishu za wake za watu sio nzuri

ccm haina jipya....mbinu zilezile ka shetani vile...
.ndo mlisemaga wakati wa Absalom kibanda.....sa hv yale yale....mmebaki nyie virusi wa Lumumba msio na maana yoyote
 
Hii thread inauhusiona na hii- Majambazi (wakitumia pikipiki)
wapora na kuondoka na Pesa - Mataa
ya Airport (119) au matukio mawili tofauti?
 
Kweli sasa hili limekuwa janga la kitaifa watu kuwawa na kupora fedha ni hatari sana .Poleni wafiwa kwa huyo aliyebeba fuko la pesa ndiyo hali iliyopo kila mtu anatafuta haki yake kwa nguvu
 

Hahahahahaha! Jf imejaa vituko vingi!
 

Mkuu hakuna mtu anayewa-expose, ni wao wenyewe tu hawajali ethics za kazi zao! Zamani Mambo yamebadilika sana mkuu, miaka ya zamani hawa watu walikuwa very ethical na watafuata protocal za kazi zao! Lakini toka waanze kutoa hizo ajira zao kwa hongo imekuwa shida!! Nasema hivyo kwasababu tunakunywa nao baa na tunaona wanavyojisifu na kuvimbisha kifua!! ni wao wenyewe hao TISS agents wanajiexpose!! TISS tuliyonayo sasa si kama ya miaka ile tuliyokuwa tunaijua, nao wanaelekea kuwa corrupt kama jeshi la polisi!! Siku hizi watu wa usalama wamekuwa ni watu wa kupiga dili tu huku mitaani..
 
Kabla hujatuma, hakikisha unajua kulinda data zako wasikujue maana vinginevyo, tembea na Panadol pia uvae nguo na kutumia gari Bullet Proof kama la Obama.

Kumbuka siyo wote walio humu JF nirahisi kuwafikia,hata marehemu kabla ya kuuawa inawezekana hakujiandaa na pia walio fanya mauaji watakua wanamjua kiundani either kwa kushirikiana naye katika kazi za kila siku au wamepewa info ya jamaa na waliopanga mauaji.

Ikiwemo kama jamaa ana silaha,aina ya silaha,uwezo wake,afya yake ikoje hasa kama ana BP ya aina yoyote ile,spidi ya jamaa katika matumizi ya silaha hasa kukitokea shambulio la ghafla,pia inawezekana silaha ilikua katika hilo sanduku kama wengi wetu walivyozoea kuziweka.

Soo kushambulia mtu kwa lengo la kutoa uhai siyo rahisi kivile kama wengi wetu wanavyofikilia. Mwache jamaa kama ana data azilete
 
Sasa huyo mwandishi ndiyo itabidi a-prove kama aqlimwambia kuwa yeye ni TISS.
Kisheria, hiyo inakwenda mpaka 20yrs.
 
samahani mkuu hivi kiasi kikubwa cha fedha kinanzia kiasi gani ,watu wanaweza kuiba hata sh. 1000000/=?
 

Dah...! Nimekumbuka kisa fulani... R.I.P Makamanda wote TISS walio uawa na waliokufa vifo vya kawaida. Maisha yanaendela mbele
 
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao

CTU Agent umenichekesha ctu agent huna uweredi wa risasi? au umeambiwa gari ilikuwa ni bullet proof? ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…