Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Kazi yake ya nini?Ni TISS kati ya wale ambao nature ya kazi zao zina wa expose. Mbena= Mzeru anajulikana sana na kazi yake hiyo. Nikuulize swali rahisu. Hivi wale walinzi wa Rais au viongozi waandamizi wa serikali wanajificha? Hapana, ni rahisi kuwafahanu. Hivyo basi TISS staff wako aina tofauti na si rahisi kuwafahamu wote. Wachache ndiyo wabaofahamuka na wengi hatuwajui wako maofisini kila mkoa na wilaya na makao makuu wengine back na wengine front office katika ofisi zao. Wengine tuko nao maofisini na sehemu zit hadi washona viatu, hawa ni informers au wanakuwa maofisini kwa kazi maalum!!! du nisiwre msemaji wao!!!
Kama haumo kwenye directorate wewe ni agent ambae hutakiwi kutambuliwa kisheria.
Kufichua identity ya agent ni punishable event.
Marehemu ana ndugu na jamaa, pia ana wananchi ambao usalama wao hapo umetishiwa. Huwezi kumu-expose agent ukasema umefanya jambo la maana. Huo utakua upuuzi.
Kwa wenzetu, huyo mwandishi angeshatiwa nguvuni. Ila kwetu tunadhani ndiyo uhuru wa habari.