Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

Pikipiki ziondoshwe zimekuwa ni dhana nyeti ktk shuhuli za kijambazi pia nawaasa watanzania kuachana na dhana ya kizamani ya kupeana fedha ktk maboksi watumie benki zetu au itungwe sheria ya kiwango cha ukomo cha fedha anachotakiwa mtu kuwa nacho mitaani lets say top milioni 1 zaidi ya hapo iwe ni kosa kisheria
 
Kusafirisha fedha nyingi bila wanausalama ni kuhatarisha maisha yako. Zama hizi kuna kampuni za ulinzi zinazosafirisha fedha kwa bei nafuu kabisa at their own risk. mf ULTIMATE SECURITY.
 
kuna wale polisi WA pikipiki alimaarufu kama TIGO hii ndio KAZI yao but wao wamegeuka na kuchukua KAZI ya traffic.

mji kama daa hauna hata camera kwenye mataa??
 

ndo nn sasa? bodaboda wakale kwako? halafu unasikitika eti 'inauma sana' huku ukisisitiza zikionekana zipigwe risasi..!!!
 
kuna wale polisi WA pikipiki alimaarufu kama TIGO hii ndio KAZI yao but wao wamegeuka na kuchukua KAZI ya traffic.

mji kama daa hauna hata camera kwenye mataa??
wale tigo wao ni rushwa tuu ndo wanachodili nacho.. omba usikutane nao.
 

are u serious??!!
anza wewe basi kuwataja hao majambazi unaowajua na unaishi nao.
 

Mkuu taarifa tumezipa muda si mrefu kua ni mfanyabiashara wa kariakoo gerezani,alikua na prado nyeupe milango mitatu.Hawa majambazi wanatunyima usingizi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku hizi mipango mingi isije kua kama lile tukio la Barclays pale kinondoni
 


Pikipiki kutolipiwa road licence ni moja ya vichocheo vya uhalifu, sijui ni kwanini serikali inajikomba kwa watumia pikipiki
 

trust no one, hapo ni mtu wake wa karibu sana ndie aliye Fanya mchakato huo. R.I.P
 
Nilikua hapo mkuu nimekimbia vbya sana acha kabisa mbele ya mtutu

duh nivyema kuepusha roho yako japo wao walikuwa na Raman kamili coz kama ww ungekuwa target nadhan kusingekuwa na mbio ulizoziapply
 
Kuna mtu juzi mfanyabiashara wa Kariakoo alinipa Tshs.13,000,000 kwa ajili ya shughuli fulani, badala ya kumfuata dukani kwake akaja na gari eneo la Mnazi mmoja na kunikabidhi!! Ukiwa maeneo hayo kuna vijana wengi sana wamekaa kidilidili, wana info nyingi sana kuwahusu Wafanyabiashara waliopo hapo.

Ni mtindo wa Wafanyabiashara hasa Kariakoo kubeba fedha nyingi kutokana na wingi wa wateja na manunuzi yao ya jumla wanayoyafanya kwa Wafanyabiashara wengine wakubwa. Ni risk sana lakini wamekubaliana na hali hiyo.
 

mkuu sioni shida ya pikipiki,
baadhi ya wamiliki wa siraha ni changamoto!
siraha iliyotumika unaeza kuta watu wamemilikishana kienyeji kama unavyoweza miliki kiberiti nyumbani!
 
hawa waliambiwa na ukimchunguza huyu jamaa lazima mkewe awe mmachame poleni wafiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…