Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Pikipiki ziondoshwe zimekuwa ni dhana nyeti ktk shuhuli za kijambazi pia nawaasa watanzania kuachana na dhana ya kizamani ya kupeana fedha ktk maboksi watumie benki zetu au itungwe sheria ya kiwango cha ukomo cha fedha anachotakiwa mtu kuwa nacho mitaani lets say top milioni 1 zaidi ya hapo iwe ni kosa kisheria
