mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Hawa watakuwa ccm wanatafuta fedha za mwenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wafanyabiashara ni wagumu mno hapo alikuwa anabania sh laki moja tu ya kuwapa police wamsindikize bank imecost maisha yake lakini ndio kanda maalum hiyo mungu amlaze mahali pema peponi AmenWatu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi
Nilikua hapo mkuu nimekimbia vbya sana acha kabisa mbele ya mtutu
Siku yakikuta wewe au jamaa zako uje uandike haya maneno yako.usisahau na maonyesho ya kikosi cha mbwa na farasi uwanjani siku za sikukuu za kitaifa.
mbona husemi hizi bunduki zimekuwa kero.unasema bodaboda tuHizi bodaboda wamezilea mpaka zinaleta shida......
sasa ni nini kutoana roho hivi hivi?
Nilikua hapo mkuu nimekimbia vbya sana acha kabisa mbele ya mtutu
!
!
ndizo ajira aliahidi mkuu
Hivi huwa mnafikiri kabla ya kuandika?
usisahau na maonyesho ya kikosi cha mbwa na farasi uwanjani siku za sikukuu za kitaifa.
polisi siwapend na sitawapenda,,,
Dah aliacha vioo wazi? Tatizo sio piki piki mbona nchi zote kuna hizo mtrbikes? Just police hawafanyi kazi yao
kwenye shida ndio mnawakumbuka polisi?? Lakn hao ndio tunawau,tunawaita njaa kali,tunawaita mbwa tunawadharau kama hatujui wapo kwa ajili ya nn..... Mm naomba polis walegeze kamba ili ijujlikane mwanaume ni nani na mwanamke ni nan?? Viva majambaz pigen kaz mjin hakuna kizuiz polis wamekata tamaa na mambo wanayofanyiwa na serikali na wananchi. Wapo kwenye mgomo wa kimya
Watu waliokuwa wanatumia pikipiki wamempiga risasi mtu mmoja aliyekuwa kwenye gari na kumpora begi na kisha kutokomea na pikipiki yao.
Mtu huyo amepigwa risasi na kufariki papo hapo.
inauma sana
Natamani pikipiki zitolewe kabisa mjini na zikionekana zipigwe risasi