Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Wanatumika lugha ya kidiplomasia. Ila ukweli ni kwamba alikuwa mateka. Na mwili wake ulipatikana hapo hospitalini Shifa na majeshi ya Israel.
Haya magaidi yamekiri kuwa mateka amefia mikononi mwao:

Most recently, Hamas said, one of the captives was moved to a facility’s intensive care unit and when he recovered, he was moved back to “his place of detention”.

But the captive died due to a series of panic attacks as a result of repeated Israeli bombardment nearby, the Qassam Brigades said. “We will release documents proving this,” the group said.

Source: AlJazeera.
 
Alafu huyo inaonekana alikuwa ajatekwa bali wenda aliuawa kwenye siku ya uvamizi wa sema maiti yake ilikuwa haijatambulika au kupatikana.
Unamaanisha Hamas walipo shambulia Israel?
 
Sijamsikia Mwisrael, Marekani, Urusi, Ukraine wakimwua mtu yeyote, awe na hatia au hana hatia, wakimtaja Mungu au Kristo. Wanafanya wanayoyafanya kwa utashi wao na miongozo ya Serikali zao. Lakini upande wa hawa magaidi, hufanya mauaji wakilitaja jina la Allah. Huyo Allah ni nani?
 
Hiyo ardhi wanayoita yao ya ahadi wanadai kwa misingi ipi ?
 
Jibu lipo wazi.
Aliyemteka ndiye Kamuua.

Hiyo ambush unayoisema, inaruhusu kuwafanyia Raia au wanajeshi?
Kulingana na sheria za kimataifa au dini unayoiamini.
Majibu yako ndio yataonyesha haki unayo au nawe ni wadhulumati kama lwalivyowengine
Mkuu huyo dogo ali kuwa hajatekwa bali alikuwa amepotea siku ya shambulizi ndo akadhaniwa ame tekwa, wenda aliuawa siku ya shambulizi au vinginevyo na mbaya zaidi huyo mtoa taarifa hakutoa maelezo yanayo eleweka.
 
Walaaniwe magaidi wa Hamas kwa kumuua huyu kijana mdogo. Israel waendelee kuwaua hao Hamas asibaki hata sisimizi hapo Gaza shwain kabisa hao
Hamas walaaniwe kwa kuuwa kijana mdogo ila Israel ibalikiwe kwa kuuwa vichanga acha unafiki wa kifala.
 
Kauliwa na airstrike za wazayuni huyo usiwalaumu Hamas
Kwani Air Strikes ni Gaza au Israel? Na kama ni Gaza alifikaje huko? Hakuna namna ya kutenganisha kifo cha huyu kijana na Hamas. Ukumbuke Hamas wanatumia Raia Kujikinga.
 
Sasa hao unao waonesha wana tofauti gani na Israel anaye vamia hospital na kuuwa vichanga njiti?
 
Tumepoteza wakulima kipindi hiki ambacho nchi inahitaji vijana wanaojitoa kubadilisha ardhi yetu kuwa utajiri.

Pole kwa familia na wote tulioguswa.

Na wewe una amini kwamba alikwenda kujifunza kilimo huko!?!
 
Na wewe una amini kwamba alikwenda kujifunza kilimo huko!?!
Chanzo cha imani ni hiyo taarifa. Kama wanadanganya hapo simo. Ila najua hata mimi niliwahi kutamani kwenda Kibbutz baada ya kusoma story ya Ben Gulion alivyobadili jangwa kuwa bustani na mashamba. Huko kubbutz hamas walifika katika mashambulizi yao pia.
 
Kwani Air Strikes ni Gaza au Israel? Na kama ni Gaza alifikaje huko? Hakuna namna ya kutenganisha kifo cha huyu kijana na Hamas. Ukumbuke Hamas wanatumia Raia Kujikinga.
Mateka wapo Gaza na Israel anashambulia Gaza kwahiyo kauliwa na majeshi ya waisraeli.
 
Israel haiwezi kuwapa uhuru maana zile ni koloni za Uingereza na baadae Misri na Jordan. Na wao walimwachia hayo maeneo baada ya kushinda vita.
Mbona hata Tanganyika tulikua makoloni ya uingereza na sasa tupo huru?
 
Inna Lilah wainaileyh rajiun.Vita Haina macho pole kwa familia MUNGU awape subra
 
Mkuu ukiwa mfuatiriaji wa maisha ya kila siku kati ya wapalestina na waisrael huwezi sema eti Hamas ndo wameanza uchokozi.

Mkuu umefuatilizia Historia......? Nini kilitokea 1948.......Au kuanguaka/kushindwa kwa Ottoman Empire kualichaje Hapo mahali panapoitwa Palestine.....? Labda Uwe na kusema kwa kufuatia Historia....wala si hii brainwashing iliyofanywa na Waarabu...na kuwazuga akili wengi.....Je Umesoma Charter ya kuangishwa Hamas inasema nini.....In short is more religion than land...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…