Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

wangesema amekufa na nini ila hapo wametuacha njia panda tunaweza sema ni sababu ya vita kumbe ni mambo mengine.

pole kwa familia

Haya magaidi yamekiri kuwa mateka amefia mikononi mwao:

Most recently, Hamas said, one of the captives was moved to a facility’s intensive care unit and when he recovered, he was moved back to “his place of detention”.

But the captive died due to a series of panic attacks as a result of repeated Israeli bombardment nearby, the Qassam Brigades said. “We will release documents proving this,” the group said.

Source: AlJazeera.
 
Haya magaidi yamekiri kuwa mateka amefia mikononi mwao:

Most recently, Hamas said, one of the captives was moved to a facility’s intensive care unit and when he recovered, he was moved back to “his place of detention”.

But the captive died due to a series of panic attacks as a result of repeated Israeli bombardment nearby, the Qassam Brigades said. “We will release documents proving this,” the group said.

Source: AlJazeera.
Mateka gani ?
 
Walaaniwe magaidi wa Hamas kwa kumuua huyu kijana mdogo. Israel waendelee kuwaua hao Hamas asibaki hata sisimizi hapo Gaza shwain kabisa hao
 
Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.

Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?

Semeni oparesheni ya Kisengerema ya Israel imemuua Kijana Wetu.
Amanyongwa na magaidi wa Hamas
 
Hivi serikali yetu haitoi security alert kwa wananchi wa Tanzania hasa inapotokea migogoro kama hii ya kivita, kuzuia wananchi wasiende kwenye nchi zenye machafuko ambapo kuna terrorist attack, kidnapping na vita? hili suala inabidi tuliangalie kwa umakini.
Punguza ujuaji kijana, USA pamoja na ubora wa makachero wake lkn naye ni mhanga wa kupitiwa raia wake na Hamas
 
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?

Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Too late, ila umewaza mbali sana
 
Hiyo ni Afghanistan ilikuwa juzi.
Na huyo ni m-missionary wa kikristo
Hicho kitu wakristo walifanyia mababu zako kabla hata wewe hujafikiriwa kuzaliwa ubaya ni kuwa waislam wapumbavu bado wanaendeleza ushenzi.

Dini ni upumbavu na takataka
 
Wapi Hamas walipotangaza kuua mateka au umesikia wapi Israel.ikisema Hamas wameua mateka?
Hawa ndio ndg zako wa damu.
Hapo ni Afghanistan na hao wanaochinjwa ni wa missionary.
Tukikuambia ndg yetu Ferix kauwawa kwa kushindwa katamka aya za quran km walivyofanya Westgate Kenyan utuelewe.
Allah ndio SHETANI mwenyewe
 
Kuna wakati unajiuliza kuhusu uislam hupati jibu. Kuna waislam wengi Duniani walio wema, walio wakarimu na hekima. Lakini kwa nini makundi karibia yote ya kigaidi hujitambulisha na uislam.

Wanaua watu, kwa kutaja jina la Allah. Sasa huyo Allah sijui ndiye wanayemtolea hizo damu za watu au wanaupaka matope uislam.

Ndiyo maana kuna wakati unafikia kufikiria kuwa huenda huyo anayeitwa Allah kwa Waislam, wala siyo Mungu anayetajwa na dini nyingine, yaani siyo Mungu wa Ibrahim, Yakobo na Isaka, ambaye aliyekuja kufunuliwa zaidi na Masiha Yesu Kristo, yaani Mungu wa upendo, Mungu wa huruma na Mungu wa msamaha.

Inakuwaje mtu anamwua binadamu mwenzake kwa kumkata shingo huku anasema Allah akbar, Allah akbar; huyo Allah ni nani?
Huyo Mungu wa upendo wa Ibrahim na Yakobo kwa upumbavu wake si ndio hivyo vitabu mnavyoita vyake viliagiza hao wayahudi wachinje kila kiumbe wasiache hai huo upendo wake ulikuwa wapi ?

Mungu wa upendo kasababisha mamilioni ya mauaji na anaendelea kusababisha mauaji pumbavu dini ni ujinga.

Hupo hapa kudefend huyo Mungu wa Yakobo jitu lenye roho mbaya na baguzi mdefend Mungu wako wa kibantu kama unaye sio huyo Mungu wa huko mashariki ya kati
 
Wapi Hamas walipotangaza kuua mateka au umesikia wapi Israel.ikisema Hamas wameua mateka?
Alitekwa na hamas ! Amepatikana akiwa kafa jibu ni iliyemteka ndio kauwa. Kama angepatikana hai tungesema hamas wameachilia mateka Mmoja mtanzania
 
Hamas hawafai. Unatekaje mtu sio Myahudi?.

Kwani gaidi huwa anachagua? Hujaona huko Yemeni na Lebanoni? Magaidi ambayo ni waarabu wanaua mpaka waarabu wenzao. Huko Lebanon yalimwua Rafiq Hariri, waziri mkuu wao. Jeshi la Tanzania ikabidi liende kuilinda serikali ya Lebanoni.

Hapo Kenya yaliua raia walioenda kufanya manunuzi kwenye supermarket. Wale watu walikuwa na hatia gani? Hapo Msumbiji yanaua mpaka sasa, tena yanasema yanatetea waislam, wakati hakuna mauji yoyote au dhuluma dhidi ya waislam. Halafu yanafanya huo ushetani wote yakitaja jina la Allah. Huyo Allah ni nani? Maana hawezi kuwa ni Mungu tunaemjua ambaye tunaambiwa kuwa ni Mungu wa upendo na msamaha.
 
Back
Top Bottom