Kwa hiyo ww Israel kuuwa watu ni sahihi?
Kuwa mzalendo kwa kuguswa na kukatishwa maisha ya kijana mwenzetu mtanzania na hawa magaidi wa HAMAS.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ww Israel kuuwa watu ni sahihi?
Mkuu wewe vipi? Pole bila rambirambi?Pole kwa wafiwa.
Tupo una semaje?Wale wazee wa i stand with hamas mpo??
Alikua rafiki mkubwa wa Mwalimu Nyerere
Mbona kwenye taarifa hakuna sehemu walipo sema kuwa alikuwa ame tekwa?Kwanini alitekwa , kwanini hawakumuachia baada ya kumuona anatoka nchi rafiki. Au hawaijui bongo . Sisi tunajipendekeza kwao.
Kuna mengi sana ya kujifunza kutokana na mgogoro huu; lakini inawezekana hatutajifunza lolote kama taifa.Halafu kuna wajinga wanashangilia yanayoendelea huko!
RIP
Ww jamaa una penda kukurupuka sana na kuongea mambo bila udhibitisho ,hebu leta chanzo cha habari kutoka kwenye serikali za Israel au Tz kinacho sema mwili wake ume patikana Al shifa.Wanatumika lugha ya kidiplomasia. Ila ukweli ni kwamba alikuwa mateka. Na mwili wake ulipatikana hapo hospitalini Shifa na majeshi ya Israel.
Uwezi kuilaani israel.ailaanie islaeli amelaaniwa,BIblia inasema ibarikini israelIsrael ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Huyo mTanzania mmoja bila kusita nasema anayo thamani kubwa sana kwetu waTanzania.Kwa hiyo huyo mtz 1 aliye kufa kwako ana thamani kubwa kuliko maelfu ya watu ambao wamesha kufa kwenye hiyo vita ?,acha unafiki.
Mbona unapanicFala wewe,Hamas ndio imemuua?
Ww unge kuwa mzalendo na una wapenda watz wenzako usinge kuwa unashinda humu unawatukana na kuwakashifu watz wenzako kisa wao ni waisilam kwa hiyo acha unafiki wa kifala.Kuwa mzalendo kwa kuguswa na kukatishwa maisha ya kijana mwenzetu mtanzania na hawa magaidi wa HAMAS.
Hoja hapa sio utaifa au uafirika hapa hoja ni maisha ya watu ,hii tabia ya kuona maisha ya jamii fulani yana thamani kuliko ya jamii nyingine ndo chanzo cha hii vita inayo endelea.Huyo mTanzania mmoja bila kusita nasema anayo thamani kubwa sana kwetu waTanzania.
Hii haina maana kwamba hatuthamini maisha ya watu wengine, hasa wanao onewa popote duniani.
Tulisema kipindi kile biashara haramu ya viungo vya binaadamu kwenye vita ni hatari sanaSerikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.
Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu
View attachment 2816839
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata
Israel ndiyo waliomteka na kumpeleka Gaza!!!?????????!!!! Walaaniwe mabwana zenu Magaidi wa HamasIsrael ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Kijana amepotea au hakujulikana alipokuwepo baada ya tukio la 07/10/23 la Hamad kuvamia Israel , hivyo anaweza kuwa aliuawa hiyo tarehe ya uvamizi WA Hamas au baada ya hiyo tarehe. Kama ni hiyo tarehe , ni wazi shambulizi la Hamas ni chanzo. Kama ni baada ya uvamizi itakuwa ni baada ya kutekwa na kushikiliwa na Hamas. Hivyo iwe kushoto au Julia muhusika ni Hamas.Mbona kwenye taarifa hakuna sehemu walipo sema kuwa alikuwa ame tekwa?