cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Wazo zuri sana ila watu wetu wa Diplomasia hawana akili kama zako. Wengi wanaenda kwenye Diplomasia sababu ya safari za nje tu. Inasikitisha mnoo
Kwani kuna tatizo? Si ardhi yao
Mateka huyo alitekwa na nani?Miongoni mwa mateka nchini Israel amekufa
Habari zaidi zinakuja
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.
Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu” #MillardAyoUPDATES
Yes, Hamas hawakufanya tathmini ya athari na hiyo ndio tatizo la kufanya maamuzi kwa kukurupuka na unapokuwa mtu uliyekata tamaa. Ila ninaamini kwa wazo lako hapo juu lingetumika na best negotiator lingefanya kazi vizuri tu.Mkuu ningependa iwe hivyo, lakini sidhani Hamas ilikuwa kwenye mood ya discussion, walikuwa kwenye kilele cha ushindi...na hawakutegemea response ya Israel itakuwaje......Israel ilichofanya imekuwa ni juu ya kiwango walichofikiri.
Kabisa, hata tungepiga mayowe tu na vishindo kama vya wakoma, hata tungemwita balozi wa palestina, tungepeleka delegation iran, naimani kabisa kijana wetu pamoja na wengine wangetoka salama, kama kile kibibi kiliwasifia hamas kuwa ni watu wema kikaachiwa sie hiyo mbinu ilitushinda kweli? Vijana walikuwa 260 wamebaki 258 hata hatujui wanaendeleaje? Wanaendelea na shule au ndo wako kwenye mahandaki au wamevalishwa combatWazo zuri sana ila watu wetu wa Diplomasia hawana akili kama zako. Wengi wanaenda kwenye Diplomasia sababu ya safari za nje tu. Inasikitisha mnoo
Na aliyemteka Mtanzania mwenzetu tumfanyeje?Mbona hata rangi yetu haifanani na Waisrael.Mbona Hamas walishindwa kutambua kuwa huyu ni mwafrika na siyo mzungu?Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.
Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?
Semeni oparesheni ya Kisengerema ya Israel imemuua Kijana Wetu.
Haijalishi lakini kumfanya binadamu mwenzako kuwa daraja la pili kama Israel inavyo wachulia wapalestina katika dunia ya sasa ni uovu ulio vuka mipaka.
Waisrael na Wapalestina Weusi wpao wengi tu mbona. UsikaririNa aliyemteka Mtanzania mwenzetu tumfanyeje?Mbona hata rangi yetu haifanani na Waisrael.Mbona Hamas walishindwa kutambua kuwa huyu ni mwafrika na siyo mzungu?
Ilikuwa ni swala la kuzungumza nae angemwachia maana Target sio Mtanzania na kwenye ambush hakuna kuulizana ID hiyo ni ya baadae sana.Na aliyemteka Mtanzania mwenzetu tumfanyeje?Mbona hata rangi yetu haifanani na Waisrael.Mbona Hamas walishindwa kutambua kuwa huyu ni mwafrika na siyo mzungu?
Na aliyemteka Mtanzania mwenzetu tumfanyeje?Mbona hata rangi yetu haifanani na Waisrael.Mbona Hamas walishindwa kutambua kuwa huyu ni mwafrika na siyo mzungu?
Wangetumia mbinu ya kuzungumza na Iran wangefaulu lakini kutegemea Mzayuni directly wakati ni adui isingewezekanaWazo zuri sana ila watu wetu wa Diplomasia hawana akili kama zako. Wengi wanaenda kwenye Diplomasia sababu ya safari za nje tu. Inasikitisha mnoo
Lakini sura zao na sisi ni tofauti,Mnigeria na Mtanzani ni Waafrika lakini kwa sura ni tofauti.Waisrael na Wapalestina Weusi wpao wengi tu mbona. Usikariri
Israel mkoloni lazima ashambuliwe.Mateka walishikikiwa Ili mazungumzo yafanyike Sasa kuua mateka wanakofanya Israel Kwa kisingizio Cha kuwatafuta ndio wamefaulu?Timu Hamas mlivyoenda kuishambulia Israel kwa sababu zenu za kishamba hamkujua kuwa kuna Raia wa Tanzania huko wasiokuwa na hatia?Na bado mmetuulia kijana wetu na bado unatoa laana kwa mtu ambaye hakuhusika pumbavu.
RIP,,,ila huwa siwaamini sana watu weupe especially Israel walivyokua wabaguzi isijekuwa wametelekeza
Lakini sura zao na sisi ni tofauti,Mnigeria na Mtanzani ni Waafrika lakini kwa sura ni tofauti.Waisrael na Wapalestina Weusi wpao wengi tu mbona. Usikariri
Wewe ni mpumbavu na muuaji huwezi nishawishi kwa lolote.Israel mkoloni lazima ashambuliwe.Mateka walishikikiwa Ili mazungumzo yafanyike Sasa kuua mateka wanakofanya Israel Kwa kisingizio Cha kuwatafuta ndio wamefaulu?
Upumbavu wameua Kijana Wetu na nyie punguani mnashangilia.
Hamas wako sahihi maana wanapigania ardhi Yao.
Israel mkoloni lazima ashambuliwe.Mateka walishikikiwa Ili mazungumzo yafanyike Sasa kuua mateka wanakofanya Israel Kwa kisingizio Cha kuwatafuta ndio wamefaulu?
Upumbavu wameua Kijana Wetu na nyie punguani mnashangilia.
Hamas wako sahihi maana wanapigania ardhi Yao.
Kuna mtanzania alitekwa congo akajiongeza akawa ndio mpishi mkuu kufua nguo za makamanda akawa anatengeneza madikodiko ya kufa mtu, nyani anamtengeneza supu huwezi amini, mwisho wa siku walimwachia akasalimie familia, hadi leo anapigiana simu na washakaji, sasa sie tulishindwa kweli kujiongezaWangetumia mbinu ya kuzungumza na Iran wangefaulu lakini kutegemea Mzayuni directly wakati ni adui isingewezekana
Hakuna uhakika wa ni nani aliye muuwa maana mara ya kwanza ilidhaniwa ametekwa lakini kwa mazingira ya kifo chake inaonekana alikuwa haja tekwa.Ndiyo muue Raia wa Kitanzania wasiokuwa na hatia kisa Israel?