Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hakuna uhakika wa ni nani aliye muuwa maana mara ya kwanza ilidhaniwa ametekwa lakini kwa mazingira ya kifo chake inaonekana alikuwa haja tekwa.
Kwa hiyo Waisraeli ndiyo waliomwua siyo?
 
Hivi huyo kijana asingetekwa na waislam wa Hamas angeuwawa?Hamas wasingefanya shambulio la 07/10 haya yangetokea?
Uzuri bible imesema wazi kuwa kuna nyakati za furaha na za huzuni.
Walioshangilia na kucheza muziki 07/10 ndo wanalia sasa
 
Ukisoma Charter ya Hamas, unaona inafuat Quran... Hivyo kama iko sahihi ni kwa mujibu wa Quran.....lakini ukitoka nje Quran hawako 100% right.....Hapo mahali pana historia ya watu wengi wakiwepo Wayahudi.....

Soma Charter ya Hamas< just direct from Quran

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)
 
Hakuna binadamu mwenye thamani kuliko binadamu mwenzake kisa asili yake.
Ww wakoloni uliyo wafukuza ndani ya nchi yako siwalikuwa wana kujengea shule barabara ,na hospital hata umeme si walikuletea?

Alafu ww ni kilaza mzuri hujui chochote zaidi ya kukalilishwa ujinga.

Umeme na maji ulio kuwa unasambazwa Gaza vili kuwa ni kutoka kwenye mamlaka ya Palestina iliyoko West bank na vyote vina gharamiwa kwa kodi za wapalestina na nchi wafadhili wa palestina na sio Israel kwa hiyo acha umbumbu .
 
Wauwaji wakubwa nyie!
Hii ni ya jana tu.
Na hapa ni Afghanistan hao wanaochinjwa ni wa missionary wa kikristo.
Hii jamii ni kaka zake shetani
View attachment 2817130
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. 3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
(Yohana 16:2-3).
======
Hiyo sio dini ya Mungu wa mbinguni bali ni ile roho ya mpinga kristo inatenda kazi ndani Yao.
 
Kwa hiyo Waisraeli ndiyo waliomwua siyo?

Mkuu watetezi wa Hamas watajaribu kuhamisha magoli....ila ukweli wanaujua......tusingekuwa tunaandika haya kama Hamas hawakupandwa na munkari wa kuua Wayahudi.....chochote walichokikuta Israel kilikuwa ni halali kuuawa....
 
Nani aache umbumbu...kutoa maji toka West BANK KWENDA gaza...mabomba yatapita wapi .....ni umbali kiasi gani.....
 
Hivi huyo kijana asingetekwa na waislam wa Hamas angeuwawa?Hamas wasingefanya shambulio la 07/10 haya yangetokea?
Uzuri bible imesema wazi kuwa kuna nyakati za furaha na za huzuni.
Walioshangilia na kucheza muziki 07/10 ndo wanalia sasa
Hata Israel isinge kuwa inaikalia kwa mabavu ardhi ya wapalestina hamas wasingekuwa na sababu ya kufanya shambulizi .
 
Mkuu.....unajua msimamo wangu....Asili ya Wapelestine ni hapo hapo...Na Waisrael pia....lakini huo sio msimamo wa Hamas.....
Soma ...charter ya Hamas.

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)
 
Hata Israel isinge kuwa inaikalia kwa mabavu ardhi ya wapalestina hamas wasingekuwa na sababu ya kufanya shambulizi .

Unajua kwa nini Hamas ilitengana na PA ya Mahamoud Abbas....? Motives za Hamas is more than land....ni religious.....iko wazi....Hata ukiwapa Land....si mwisho...Hawataki Mayahudi hapo...Period. Direct fro Quran
 
Hivi haikufanyika risk assessment na kuona haikuwa salama vijana wetu kuwa stationed gaza haikuwa salama, usijekuta hawa mateka ni machotara wa kiyahudi wahindi wafilipino wabongo na wanaigeria tupu, wao pure hawako huko, hivyo uhao wao wala sio muhimu kivile wanaweza dundwa tu sambamba na wapalestina
 
Hawakuwa Gaza Mkuu......Walikuwa kwenye mashambano, ndani ya Israel.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…