Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Ndio maana nimesema kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri, yaani uende kwenye nchi ya watu uikalie alafu useme hakuna mgogoro wowote?
Kutoka West bank, Jerusalem mashariki mpaka kwenye miji yote iliyoko mpakani mwa Gaza hayo yote ni maeneo ya wapalestina kwa mujibu wa mipaka inayo tambuliwa kimataifa.
Ngoja nikuelimishe hiyo miji ya mipakani iliyo shambuliwa na hamas yote hiyo ilikuwa ndo makazi ya wapalestina wanao ishi kwenye ukanda wa gaza kwa sasa ambao walifukuzwa kwa nguvu na Israel mwaka 1947 .
Walitumwa na serikali kujifunza kilimo.
Sijui Israel inapata wapi maeneo ya ku practice kilimo kutushinda.
Simiyu ni kubwa kuliko Israel.
Miaka ya 70 Orchestra Safari Sound, Masantula Ngoma ya Ukae cried out loud" : "Tangu zama za kale asili yetu ni wakulima, hatuna budi kuendeleza kilimoooooo!"
Mungu tuhurumie
Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?
Kama Israel ingekuwa na nia kweli ya kutaka amani ingeondoka kwenye mipaka ya palestina inayo tambulika kimataifa ili tuone kama hao hamas wange wafuata na kuwashambulia.
Jidanganye Mzee,Israel hawapigani na Hamas wanawaua wapalestinaKm upo hai utaona kama utakuja kukisikia tena hicho kikundi cha hamas ndani ya Gaza from now on....
Labda waje kwa jina lingine
Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?
Kama Israel ingekuwa na nia kweli ya kutaka amani ingeondoka kwenye mipaka ya palestina inayo tambulika kimataifa ili tuone kama hao hamas wange wafuata na kuwashambulia.
Jidanganye Mzee,Israel hawapigani na Hamas wanawaua wapalestina
Unaweza kuniwekea mipaka ya inayotambulikana kimataifa? Waarabu walikataa mipaka ya UN ya 1948......Hebu iweke ni ipi hiyo...maana imenda ikibadilika badilika....Na Waarbu wamekuwa wakibadili kila leo......Kumbuka kwenye Arab Summit 1967 walikula yamini ya " Three NO" No Peace With Israel, No Recognition With Israel, No Negotiations With Israel.......Kila leo Waarabu wamekuwa kama kinyonga......Sasa niwekee mipaka walioikubali na kuikataa toka 1948.....Wamejaribu vita wakapoteza.....Walikataa Negotiations......sijui wamefanya mara ngapi....yaani ndugu zako wana vituko!
Imewauma ya mtanzania, lakini ya waislamu kuuawa haiwaumi, wamama, watoto/njiti wanauawa ila roho zenu hazishtuki, kwahiyo mtanzania ana thamani kuliko ndugu zetu wapalestina sio!!! Mnakera sana
Kwani Hamas ni watu wa wapi?Jidanganye Mzee,Israel hawapigani na Hamas wanawaua wapalestina
Si ilisemekana alitekwa? Inaweza hamas walimtumia kama ngap ya wao kutoshambuliwa, ukizingatia hakua muisrael na pia alikua black."Wizara itaendelea kuwaailiana na Israel ili kuhakikisha Watanzania wote wanakuwa salama"
Nje ya mada: Kijana alifia Gaza au Israel?
Kifo chake kimetokea lini na sababu ya kifo ni nini?
Watakua walimtumia kama human shieldKauliwa na airstrike za wazayuni huyo usiwalaumu Hamas
Htr sana hiiBalozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grata
Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.
Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi
View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h
Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo
Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.
Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,
Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.
Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'
10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
Najaribu kusoma sielewi ulichoandika, hivi october 7 nani aliyerusha jiwe kwa mwenzie? Sie tunahusikaje na ugomvi wao hadi watuulie mwanatu?Imewauma ya mtanzania, lakini ya waislamu kuuawa haiwaumi, wamama, watoto/njiti wanauawa ila roho zenu hazishtuki, kwahiyo mtanzania ana thamani kuliko ndugu zetu wapalestina sio!!! Mnakera sana
Mkuu ukiwa mfuatiriaji wa maisha ya kila siku kati ya wapalestina na waisrael huwezi sema eti Hamas ndo wameanza uchokozi.
Mkuu huyo dogo ali kuwa hajatekwa bali alikuwa amepotea siku ya shambulizi ndo akadhaniwa ame tekwa, wenda aliuawa siku ya shambulizi au vinginevyo na mbaya zaidi huyo mtoa taarifa hakutoa maelezo yanayo eleweka.
Uko sahihi, bado kuna maiti nyingi hazijatambulikaAlafu huyo inaonekana alikuwa ajatekwa bali wenda aliuawa kwenye siku ya uvamizi wa sema maiti yake ilikuwa haijatambulika au kupatikana.
Israel ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.