Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Je, kiplomasia hasa ya Mahariki ya Kati, tupo vizuri?
 
KAFARIKI kwani alikuwa ANAUMWA!! Semeni KAUWAWA NA MAGAIDI wa HAMAS waliomteka! Hz lugha ni za kuficha ushetani wa Waarabu, kosa akifanya myahudi au mmarekani ndiyo kelele nyingiii. Israel iwashughulikie wapalestina bila kujali sheria wala kanuni, dawa ya moto ni moto wao Oktoba 7 hawakufuata kanuni yeyote ya kivita na waliburura maiti za wayahudi wanawake mitaani, na hao wanaojiita "innocent civilians" walikuwa wakishangilia na kutemea mate maiti hizo.
 
Hoja hapa sio utaifa au uafirika hapa hoja ni maisha ya watu ,hii tabia ya kuona maisha ya jamii fulani yana thamani kuliko ya jamii nyingine ndo chanzo cha hii vita inayo endelea.
Na bado huelewi unacho elezwa.
Inapokuja katika utaifa wetu kama waTanzania, hakuna kilicho juu ya hicho. Nimekueleza, hili halina maana maisha ya watu wengine popote hayana thamani, la hasha.
Ni muhimu uelewe hivyo, kwetu wengine hakuna kilicho juu ya uTanzania wetu.
 
Nani huyo?

Translation:

Student Clemence Felix Mtanga, 22, from Tanzania was among those kidnapped from Kibbutz Nahal Oz when Hamas attacked Israel on October 7.
Now he is said to have been found dead. This is reported by the Jerusalem Post, among others.
The death is confirmed by Tanzania's Ministry of Foreign Affairs.
His next of kin must be informed.
Another Tanzanian citizen, Joshua Molal, is believed to be among the Hamas hostages. His fate is still unknown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…