Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Israeli imekiri kuwa iliwashambulia raia wake siku hiyo ya tarehe 7 kwenye tamasha la music so is likely kama mtanzania mwenzetu mwili umepatikana ndani ya mipaka ya eneo la Israel ambako tamasha lilifanyika basi ni wazi kuwa atakua ameuwawa na majeshi ya israeli.