Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Nyie mnauchungu na Jasusi Mtenga tu! Wakat mmemua Lwajabe,Azory,Ben saa8, Kanguye! Hawa sio binadamu mbona hukuwalilia ,acha unafiki wewe
 
Magaidi wamemuua, wapagazi wa waarabu kwao kuuawa kwa mtanzania mwenzao si kitu kwao wao kuuawa kwa magaidi ndio inawauma. Bure kabisa.
 
Wayahudi na WAislamu, Tanzania kuna wayahudi?
Umezunguka sana, kama ni posa kwa mwanamke huwezi mpata, sema Waarabu wa Tanzania wanawasapoti HAMAS, na wakristu wanasapoti ISRAEL na si wayahudi kama kichwa chako kinavyokutuma.
Sijataja neno wayahudi mahali popote. Nimesema watu wa dini fulani
 
So Hamas kuvamia na kuteka na sasa wamesababisha kifo cha mdogo wetu kwako walikua sawa et
Hivi hizi dini zinawafanya wapumbavu kiasi hiki kweli?
These people hawana uzalendo. Loyalty to the Umma and Islam then faith comes second. Mtu mwenye mhemuko wa kidini Hana uzalendo
 
Sijataja neno wayahudi mahali popote. Nimesema watu wa dini fulani
"dini fulani" ndio wayahudi, usiwe mwoga, JF ni sehemu ya uwazi si kama magazeti yenu ya CHAMA yanasema kuna mchwa halmashauri wakati majina ya wakurugenzi na wengineo yanafahamika:
#Shame.
 

WAJITOKEZA KUMPA HESHIMA MWANAFUNZI CLEMENCE MTENGA

Leo jumatano tarehe 22 November 2023, Shughuli ya kumuaga mwanafunzi wa kitanzania ambaye alitekwa na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, marehemu Clemence Mtenga yafanyika, ambapo mwili wake waagwa mjini Petah Tikva, Israel.

Wanafunzi wa kiTanzania, maofisa wa ubalozi wa Tanzania na Maofisa wa wizara ya mambo ya nje ya serikali ya Israel walijitokeza kumpa heshima za mwisho marehemu Clemens Mtenga.

Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu Clemence Mtenga inatekelezwa na serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na serikali ya Israel ili uweze kufika nchini Tanzania.

BBC News
22 November 2023
Petah Tikva, Israel

Ceremony held for Tanzanian student who died in Israel



A ceremony was held on Wednesday at a mortuary in Petah Tikva, Israel, to commemorate the life of Clemence Mtenga, a Tanzanian student who was taken hostage in the Hamas attack on Israel.

The ceremony was attended by representatives from the Tanzania foreign embassy, from Israel foreign ministry, and fellow students on the academic programme that Clemence was completing.

A fellow student, Ezekiel Kitiku, who had been living with Mr Mtenga on Kibbutz Nir Oz, told the BBC it has been an incredibly painful time.

“We spent so much time together, we cooked together and we always spent our evenings together talking about our day. For him to leave suddenly is very painful.

“But I am a Christian and I believe I will meet him again one day.”
Mr Kitiku is now living in Kiryat Malachi and continuing the agriculture internship.

The Tanzanian foreign ministry said that they are liaising with the Israel government to send Mr Mtenga's body home
 
23 November 2023
Morogoro, Tanzania

Clemence Mtenga angekuwa hai, Leo angehitimu SUA katika mahafali ya 42


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZMqt7KWz_wE

Leo ni mahafali ya 42 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na miongoni mwa wahitimu 3,096 lipo jina la mtanzania Clemence Mtenga aliyeuawa kwenye mapigano kati Israel na Hamas.Endapo Mtenga angekuwa hai, leo hii angetunukiwa shahada ya kwanza ya sayansi ya kilimo cha bustani - Bachelor of Science Horticulture

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA wakiwa kwenye Mahafali ya 42


View: https://m.youtube.com/watch?v=lwSoxLSKlZg
 
Kauwawa na magaidi masheitwani wa Hamas baada ya kuona hana faida kwao walidhani ni mmarekani mweusi. Hamas walaaniwe washenzi sana na waoga wakubwa savage cowards terrorists.
 
Vipi kuhusu yule Mtanzania mwingine aliyetekwa na Qassam Brigade Serikali ya Tanzania inafanya juhudi gani ili aachiwe au Serikali hii inayajali MACHAWA yake tu.
 
Hakuwepo kwenye tamasha walisema mafunzo yao yapo karibu na gaza
 
Tufafanuliwe hili Ili kuondoa sintofahamu kubwa baina yetu

Amekufaje?
Kuna uwezekano kadri siku zilivyozidi kwenda Hamas walizidiwa uwezo wa kuhold namba kubwa ya mateka ukizingatia IDF waliblock humanitarian aids ambazo zinginezo zilibainika kuwafikia Hamas so the only option hapo ni kuwapunguza kwa kuwaua, vinginevyo kama waligawana mateka kwenye unit zao kupunguza risk.

Kuhusu makombora ya israel inawezekana pia kama baadhi ya mateka walikufa kwa makombora it means Hamas nao walikufa vile vile. Kujua amekufaje exactly yahitaji kufanya post-mortem.

Pia Hams kuclaim idadi kubwa ya mateka kufikia 60 kufariki kutokana na makombora ya israel inaweza kuwa ni mind game ya kuprovoke reaction ya wapingaji ili kuishinikiza israel wapunguze makali ya mashambulizi yao.
 
rip mwambaaaa nilisomaaa naee Jerusalem 2009
 
Leta ushahidi wako hapa.

Hii propaganda yako ya kumchafua marehemu ili kuwasafisha hao magaidi waliomuua imeshafeli.
Hakuna gaidi. Hao ni waislam wa Palestina wanapigania nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…