Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wapuuzi wameficha taarifa za msingi"Wizara itaendelea kuwaailiana na Israel ili kuhakikisha Watanzania wote wanakuwa salama"
Nje ya mada: Kijana alifia Gaza au Israel?
Kifo chake kimetokea lini na sababu ya kifo ni nini?
Fala wewe,Hamas ndio imemuua?Miongoni mwa mateka nchini Israel amekufa
Habari zaidi zinakuja
Source BBC swahili
Hapana mkuu. Kafia kwenye mafuriko mto Msimbazi. Maana naiona nawe wataka kuua tena!!Fala wewe,Hamas ndio imemuua?
Kifo Cha huyu dogo ndio kimefanya ni feel maumivu wanayopata Wapalestina Kwa kunyanyaswa na kuuwawa ndugu zao na Israel.
Aisee😭😭😭😭View attachment 2816841
22 yrs old, My deepest sympathies to you and your family, kijana kabisa anaetegemewa na famiia na Taifa kwa ujumla. Clemence Felix Mtenga RIP my little brother.
Sawa lakini siyo kuua watoto na kinamama.M.H.S.R.I.E.P...
Alafu kuna watu wanawatetea hawa mbwa Hamas...
Dawa ni kuwafuta hawa mbwa na ndugu zao wote...