Higgs_Bosson
Member
- Apr 1, 2012
- 47
- 76
Pole kwa wafiwa.Taarifa kutoka wizara ya mambo ya nje
Taarifa haijaonyesha kama mhanga amekutwa na umauti wkt wa yale mashambulizi au wakati akiwa mateka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa wafiwa.Taarifa kutoka wizara ya mambo ya nje
Kauliwa na airstrike za wazayuni huyo usiwalaumu HamasHamas ni wajinga.
Mwendo amemaliza ila vita sijui kama amepigana...Mwendo Ameumaliza
Apumzike Kwa Amani
Ndio hapo eti mateka afe halafu wajue wakati katekwa 😅😅....Yule mwingine inawezekana kafariki wao wanaotea kama walitekwa .Kusema tuu amefariki bila kutoa maelezo ya amefariki vipi haitoshi.
Tuliambiwa wamechukuliwa mateka Sasa mbona hamjatueleza kifo chake kimesababishwa na nini?
Kwa vyovyote vile huyu atakua kauwawa na magaidi ya IDF kwa airstrikes nilivyofuatilia hii vita Hamas wanapigana kistaarabu sana. Jamani kama kuna muislamu humu aniambie taratibu za kusilimu . TakbiiiiriiiiiHamas washenzi sana.
R.I.P Clemence
God Bless 🇮🇱
Rip kijana....pole kwa wafiwa...🙏🙏🙏 ...huu ni unyama mbaya.
WAARABU wa Tanzania karibuni, tunasubiri comments zenu!Miongoni mwa mateka nchini Israel amekufa
Habari zaidi zinakuja
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.
Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu” #MillardAyoUPDATES
Wapuuzi wameficha taarifa za msingi
Ugomvi usimuhusu
Mwenyezi Mungu ailaze pema roho yake. Amefia vitani
Halafu kuna wajinga wanashangilia yanayoendelea huko!
RIP