Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200


Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.

Ila chama hicho jamani, da!

Ajabu yanarekodiana bila hata haya !

Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
 
Kuna mdada jirani yangu alikuwa anagombea nafasi uvccm dsm alimkopa mume wake 10m ambayo jamaa alikopa benki yeye alikuwa an 8m alichukua NSSF yake aliachaga kazi.

Uchaguzi umefanyika hajashinda yeye ni mkristo.
Mwanamke alimuahidi jamaa kwamba lazima ashinde ana watu.

Sasa baada ya kushindwa mume anadai hela yake ndoa imeparaganyika
 
View attachment 2431595

Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.

Ila chama hicho jamani, da!

Ajabu yanarekodiana bila hata haya !

Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
wamemchuna hela nyingi kisha wakamchinjia baharini, wajumbe konyo sana
 
Haya ni madhara ya deep state kukumbatia chama kimoja MUDA mrefu kutawala nchi!

Matokeo yake tabaka limejengwa Kati ya wenye nacho na wasio nacho ndani ya chama,mtu anachaguliwa KWA kiasi cha Rushwa sio sera tena!!

Lakini ingekuwa madaraka yanapokezana wanachama wa SIASA wasingelundikana CCM ivyo wangeenda chama chochote na kugombea KWA sera na wasingepata MSONGO wa MAWAZO KWA kugombea sehemu MOJA!

Mabadiliko yalipaswa kufanywa 2015 na yangeanza pole pole tangu 2010 leo vyama kama nccr mageuzi,cut na CHADEMA vingekuwa na nguvu na kuwa na wanachama wengi na jpm angeshindia urais huko,Nadhani hata moyo wa betri usinge kata moto KWA msongo wa mageuzi ya nchi na mageuzi ya kusafisha CHAMA!!

Mungu IBARIKI nchi yangu Tanzania!
 
Ila chama hicho jamani, da!
1669815367832.png
 
Back
Top Bottom