Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mwenyekiti wao anayaona haya, wala hayakemei. Kinana yuko wapi?View attachment 2431595
Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani hahahaha!
Huwa nikiona hawa wadudu wanatendana ubaya furaha hunijaa moyoni. Malipo ni hapahapa kwenye getho/nchi ya Watanzania. Wangepigana migumi kidogo!😂😂😂😂View attachment 2431595
Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani hahahaha!
RUSHWA ndani ya CCM ni RUKSA kwani KUTOA NA KUPOKEA Rushwa NI AHADI YA MWANACCMMwenyekiti wao anayaona haya, wala hayakemei. Kinana yuko wapi?
wamemchuna hela nyingi kisha wakamchinjia baharini, wajumbe konyo sanaView attachment 2431595
Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani, da!
Ajabu yanarekodiana bila hata haya !
Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
Kinana kafungwa Speed gavaner!!Mwenyekiti wao anayaona haya, wala hayakemei. Kinana yuko wapi?
Kauuuza Nyumba ya familia, Sasa wanarudi kupanga huyo!!wamemchuna hela nyingi kisha wakamchinjia baharini, wajumbe konyo sana
Na January 2023 inakuja watoto wanataka ada na sare za shuleKwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe.
Ila chama hicho jamani, da!
Uitishwe mdaharo kujadili rushwa ndani ya chamaKinana kafungwa Speed gavaner!!
Wajumbe watakuja kuua mtu kwa stroke.