Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

Pengine alikopa anawaza madeni jumlisha uchungu wa kila mjumbe alimuhakikishia kura yangu umepata.
 
Hahahahaha !! Kile kilio ni kwa ajili ya kukosa fursa ya kuwahudumia wananchi masikini ??!! Au ?!! Duh !!
 
Umeongea kitu kimoja muhimu sana. Ila ni wachache watakuelewa.
 
Mpaka sasa hakuna aliyeleta uthibitisho kuwa huyo analia baada ya kushindwa uchaguzi.......naona maneno yaleyale tu ya kimbeambea.
 
Mtoto akililia wembe Mpe

Wembe ni ule ule
 
Asijali, kwani aliyeshinda atamfuta machozi Kwa kumteua kuwa mbeba mafaili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ