Mmojawapo wa wakuu wa HAMAS auawa ndani ya kambi ya wakimbizi, ilibidi kambi ifumuliwe kwa bomu


Kumbe Yesu hakutoa adhabu yoyote, unakimbilia kwenye uislamu?


 


View: https://youtu.be/KxSHusl_uHM?si=sPWp9O51-m-fwM6U
 

Na sijachelewa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.

Kuna hii pia

View: https://www.youtube.com/watch?v=IWOp664vukE
 
HIi nondo imeshiba kuwapelekea uelewa hawa waosha tupu zao zilizoingiliwa.
 
Tatizo lipo wapi?😂😂😂Ebu onyesha point yako mbona ipo sawa kabisa.
IPo sawa 😆😆😆😆 kumbe mnafundishana ushenzi huko mdrasa.. ? Ndoo maana watoto wanalawitiwa saana na hao watu wa madrasa nimepata kuelewa sasa.
 
Kuna reply nimeona mwamba katoa aya ndefu nzuri inayo wafundisha hawa watu ushoga kabsa
 

Kumbe una kanisa lenu la mashoga hapa TZ?


View: https://youtu.be/zyvw83tsGMo?si=HMMR2W6qMidAFI78
 
Hili shambulio limeua raia wengi sana wa Palestine.

Hii sio sawa kabisa yaani kuua watu 100+ kisa ulimlenga mtu mmoja tu?....

Uhalifu wa kivita huu.

 
Nipe jina la mtu mmoja tu aliyefanywa towashi na kanisa lako au kanisa lolote kwa tafsiri yako
Hakuna kitu kama hiyo. Kanisa halikfanyi mtu kuwa towashi bali wapo waliozaliwa toka tumboni mwa mama zao na hali ya utowashi. Na utowashi sio ushoga tupaelezee hapo na tupaelewe wote. Wapo matowashi wameamua wao wenyewe wajiondoelee urijali. Wapo waliofanyiwa utowashi kwa lengo la kuwa walinzi wa wake wa wafalme(hawa wamefanyiwa/kuhasiwa wakiwa wadogo au wakiwa wakubwa labda kwa kupenda kwa wakumbwa au kutojua lolote kwa watoto)
 
Hata Aya hujaisoma vizuri, Soma tena
 
Mbona katika biblia hamna mahali Yesu alijitaja kuwa ni Mungu na watu walimfanya ni Mungu na unakubali ?
HIvi unajitambua kweli. Nani ka kuambia Yesu ni Mungu..? Yesu ni mwana wa Mungu na ndio maana wakristo husema au huomba kupitia Yesu kwenda kwa Mungu. Unashida katika ubongo wako sio kdgo. Maana kuchanganua mambo madogo inakuwia ngumu. Moja ya maandiko yohana mbatizaji alipo mbatiza yesu akatokea njiwa na sauti ikasikika kutoka mawinguni ikasema "hakika huyu ndiye mwanangu mpendwa nipendezwaye naye"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…