Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
sasa uzi ni kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas unauhusiano gani na ushoga
Ina uhusiano mkubwa sana , kwani hao waliomuuwa kwa nini walimuuwa ni kwa sababu wanataka kuendeleza ushoga kwenye miji mitakatifu
PM Netanyahu: I ask you to stand in solidarity with our brothers and sisters in the LGBT community.
View: https://youtu.be/m6hMiuq4nYI