LD tumekumiss... Hasa ile kahawa yako ulinikaribisha kwenye uzi wa quotes sijui kama you remember.... BUT i do for the coffee was wonderful.... Jana na wik ilopita nilikuona mtaa wa complaints na pongezi; nikajua mwenzagu siku hizi ni mod...lol... Karibu saana dear na nimefurahi kukuona.... Hata babu anavunga tu...
welcome back, I missed you too.... Pole na mkono (ndio unaleta tabu, sio?)Duh ashadii ahsante sana kwa kunikumbuka mpenzi, mkono huu wa kulia na kutype hata haviendani, bado siko fresh saaaana
ila kuanzia sasa angalau nitakuwa nachungulia hata kama sitatype kwa sana, nimefurahi kuona pia kuna watu wameni miss
nina imani tutakuwa wote kama zamani soon
Yah ndio nina pop ila mwanzo nilikuwa mbishi nikawa napata maumivu nimerudishiwa, ila sasa nimeambia nianze movement kiasiwelcome back, I missed you too.... Pole na mkono (ndio unaleta tabu, sio?)
semelea nafc yako...mie nimem mic!
Mmmmh! Haya, mimi kanisahau
Huyo ndo mdudu gani...............
Sitaki hata kumsikia akilini mwangu.......................ha ha ha ha duh sijui kwa nini walijiita hivyo hawa viranja.
Wamenifungia ID yangu moja ya kiume sitaki hata kumsikia Paw.
Duh ashadii ahsante sana kwa kunikumbuka mpenzi, mkono huu wa kulia na kutype hata haviendani, bado siko fresh saaaana
ila kuanzia sasa angalau nitakuwa nachungulia hata kama sitatype kwa sana, nimefurahi kuona pia kuna watu wameni miss
nina imani tutakuwa wote kama zamani soon
Mhh!!! Dada AshaDii naogopwa kupigwa mie na wenye mali zao lolJux... Usijali... usiogope... Mie najua Umem-Miss nani... labda tu mwapishana for amejaa tele... Unahitaji nimite??
Mhh!!! Undugu kusaidiana lolHeee!!! Mie nilijua umem-miss tu.... Kumbe unamendea... Hapo hata mimi
nakwambia All The Things You Want Me To Do kuhusiana na hillo swala i can NOT....LOL
LD pleease don't hate me for this.... Naomba nikupe siri moja..... PAW is my bestest Mod... I love her/him....
Hata hivo pole saana kwa mkasa wa hio ID ya kiume....lol.. Register mpya; I just really hope you are not Mwita25....lol
Kumiss-iwa ni raha saana,inaonesha unapendwa,na kupendwa ni neema mana si wote wana watu wakuwapenda hata wawa-miss.
Thank you so much my darling sister.
I missed you too,soo much.
Hata mim nawamiss memba wengi sana humu jamvini,mkimuona Preta,wiselady na kaka langu la nguvu paka Jimmy,mnisaidia kuwaambia nawamiss vibaya saana.