"MMU Misses you Sooo Much"

"MMU Misses you Sooo Much"

LD tumekumiss... Hasa ile kahawa yako ulinikaribisha kwenye uzi wa quotes sijui kama you remember.... BUT i do for the coffee was wonderful.... Jana na wik ilopita nilikuona mtaa wa complaints na pongezi; nikajua mwenzagu siku hizi ni mod...lol... Karibu saana dear na nimefurahi kukuona.... Hata babu anavunga tu...

Huyo ndo mdudu gani...............

Sitaki hata kumsikia akilini mwangu.......................ha ha ha ha duh sijui kwa nini walijiita hivyo hawa viranja.

Wamenifungia ID yangu moja ya kiume sitaki hata kumsikia Paw.
 
Duh ashadii ahsante sana kwa kunikumbuka mpenzi, mkono huu wa kulia na kutype hata haviendani, bado siko fresh saaaana
ila kuanzia sasa angalau nitakuwa nachungulia hata kama sitatype kwa sana, nimefurahi kuona pia kuna watu wameni miss
nina imani tutakuwa wote kama zamani soon
 
welcome back, I missed you too.... Pole na mkono (ndio unaleta tabu, sio?)
 
Yah ndio nina pop ila mwanzo nilikuwa mbishi nikawa napata maumivu nimerudishiwa, ila sasa nimeambia nianze movement kiasi
thanks russian
 
Huyo ndo mdudu gani...............

Sitaki hata kumsikia akilini mwangu.......................ha ha ha ha duh sijui kwa nini walijiita hivyo hawa viranja.

Wamenifungia ID yangu moja ya kiume sitaki hata kumsikia Paw.

LD pleease don't hate me for this.... Naomba nikupe siri moja..... PAW is my bestest Mod... I love her/him....

Hata hivo pole saana kwa mkasa wa hio ID ya kiume....lol.. Register mpya; I just really hope you are not Mwita25....lol
 
Duh ashadii ahsante sana kwa kunikumbuka mpenzi, mkono huu wa kulia na kutype hata haviendani, bado siko fresh saaaana
ila kuanzia sasa angalau nitakuwa nachungulia hata kama sitatype kwa sana, nimefurahi kuona pia kuna watu wameni miss
nina imani tutakuwa wote kama zamani soon

Gaga Soo very happy to see you hapa.... In fact hata shemejio kakuulizia na anaku-Miss saana. Pole mpenzi na maumivu usijali kabisa Mungu atakusimamia utapona kabisa na kupata nafuu ili mradi u-handle with care... Karibu saana and THANK YOU for the feed back....
 
Kuna mtu nimem-miss ila ngoja niugulie humu humu moyoni

Jux... Usijali... usiogope... Mie najua Umem-Miss nani... labda tu mwapishana for amejaa tele... Unahitaji nimite??
 
  • Thanks
Reactions: Jux
Jux... Usijali... usiogope... Mie najua Umem-Miss nani... labda tu mwapishana for amejaa tele... Unahitaji nimite??
Mhh!!! Dada AshaDii naogopwa kupigwa mie na wenye mali zao lol
 
Heee!!! Mie nilijua umem-miss tu.... Kumbe unamendea... Hapo hata mimi
nakwambia All The Things You Want Me To Do kuhusiana na hillo swala i can NOT....LOL
 
Mhh!!! Undugu kusaidiana lol
 
LD pleease don't hate me for this.... Naomba nikupe siri moja..... PAW is my bestest Mod... I love her/him....

Hata hivo pole saana kwa mkasa wa hio ID ya kiume....lol.. Register mpya; I just really hope you are not Mwita25....lol

Duh AshaDii nina mashaka na wewe, wewe ndo Paw nini?

Haiwezekani unamfagilia hivi huyu mod, mmmh
 
Dah! You have cracked me up!! I wish ningekua yeye.....lol Hata hivo sio dear usiogope...
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kumiss-iwa ni raha saana,inaonesha unapendwa,na kupendwa ni neema mana si wote wana watu wakuwapenda hata wawa-miss.
Thank you so much my darling sister.
I missed you too,soo much.
Hata mim nawamiss memba wengi sana humu jamvini,mkimuona Preta,wiselady na kaka langu la nguvu paka Jimmy,mnisaidia kuwaambia nawamiss vibaya saana.
 
I am so glad to see you hapa Cheusie.... ingawa ulishanipoza kua you are well and good... Kifika kwako hapa naamini itakuwa furaha kwa wengi for hujaonekana kitambo saaana. Karibu dear... Na i am hoping hizo salamu zako zooote zitawafikia walengwa na wahusika pia....
 
Ashadii, thanks kwa kutukumbuka mamii!..You're so kind🙂))

Majukumu tele ila sijambo na mzima wa afya. Hope nawewe uko salama kabisa!!
 
Back
Top Bottom