Kbd
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,260
- 448
Heheheeeh!! I wish niwajue na wenzio ili tupunguze kuwamiss!
Na mimi pia dia, natamani kuwafahamu. Jitokezeni basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheeeh!! I wish niwajue na wenzio ili tupunguze kuwamiss!
OMG! Jamani kumbe wewe ndio speaker!!! Hata nisingeweza guess. Avatar yako inavutia, wacha wajanja wakutokee....:ahhahahahahaaa
Na mimi pia dia, natamani kuwafahamu. Jitokezeni basi.
Kbd, asavali sana wewe umerudi ki-original manake ningekosa wakula nae kacholi!
Hahahahahahahahaaaaa! My dia mi sijawahi kubadili I'd yangu, wala sinasababu ya kufanya hivyo. Whatever may come will deal with it.
Leta kachori bana, mi na-salivate tu hapa, tena zikiwa na pilipili kwa mbali naweza kuweka simu yangu ya mchina rehani ujue.
I miss Michelle so bad.... really bad!!!
Speaker yupo,..alibadilisha jina.
Ni transition tu ya kuelekea kutumia jina lake halisi.
Kwa sasa anaitwa Clemmy na avatar yake ni
ya mdada siku hizi,watu wana ipenda kweli hiyo avatar.lol
I miss you more.....this life of mine just changed,am not able to be here as i would love to....but soon,so soon i will be back with you good people.
I miss her the MOST....Ni dada wa KWANZA kunipokea hapa JF kwa mengi... na ushauri hasa via PM... I love that lady...
I miss you more.....this life of mine just changed,am not able to be here as i would love to....but soon,so soon i will be back with you good people.
Yeah,Sucy ali mchukia kweli speaker ikabidi nibadili kila kitu.
afadhali tumekusikia dear.
I miss you dearest...and love you more...you know how i like this place, am dealing with what has been troubling me and consuming a lot of my time and will be back. I miss your smart opinions and analysis...Take a good care of yourself, see you soon!
Michelle you great lady (IMO) I am SO proud to see you hapa.... Karibu saana Mpenzi... Tumeku MISS na We LOVE you too.... (MTM naona atachanganyikiwa....lol)
yuhuuuuuuuuuuuuuuuu.....Michelle you great lady (IMO) I am SO proud to see you hapa.... Karibu saana Mpenzi... Tumeku MISS na We LOVE you too.... (MTM naona atachanganyikiwa....lol)
Am grateful...thank you for a warm welcome...nimewamiss pi sana na ninawapenda sana,nimezeeka kwa kukosa challenge za kila siku za JF. MTM hana neno, nimemsalimu tayari.
afadhali tumekusikia dear.