MMU special offer

Jamani bebii sasa sisi wa huku Kantalamba tufanyaje?Tupe email yako basi//////Maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.
 
da Canta....bebii akikupa kazi usinisahau kwenye umalkia wako plz.
Usijali Igwe nasubiri aniite kwenye interview,ikikubali tu sitakusahau,Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
jamani bebii sasa sisi wa huku kantalamba tufanyaje?tupe email yako basi//////maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.
duh wewe cv yako nitaifikisha kweli duuuuh itapasua server
 
Jamani bebii sasa sisi wa huku Kantalamba tufanyaje?Tupe email yako basi//////Maana nasi twataka hiyo kazi bana eeeh.

Mkuu umenikumbusha mbali sana hapo kwenye blue hapo
Mitaa ya shule enzi hizo bana
 
Dada bebii nimeshindwa ku-attach, kwa pm, naomba msaada au nielekeze jinsi ya kufanya.
 
sasa Bebii....picha ndio nilizonazo karibu....si natanguliza kwanza then vingine vinafuata....
Wenye sura za kokoto_hapa hatupati kazi!...ila wewe Preta utajiuza kwa sura maake Cv yako imekaa ndivyo sivyo,...kwa hiyo ww tuma kwanza hizo picha
 
kama mwisho saa sita ipi sasa ya leo 10/24/2011 au kesho. kama leo mimi naomba uchukue jina langu tu kwanza liingie kwnye list ya wasahiliwa halafu nijipange kukutumia vyeti au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…