MMU special offer

dada bebii nimeshindwa ku-attach, kwa pm, naomba msaada au nielekeze jinsi ya kufanya.
mbona inawezekana? Mbona wengine wameweza?
 
kama hutaki acha bwana acha maswali
hapa meneja mwajiri kesha ni_disqualify,....maake tayari nimeisha mkera kwa kumuuliza kaswali,....bebii plz ni short list bhana
 
Mr.Rocky..umekumbuka mbali sana..Kantalamba secondary school ya enzi hizo eeeehhh.Poa sana

Wacha mkuu naikumbuka sana ile kiwanja mkuu tulipita pale enzi za Milinga
Dah umenikumbusha mbali sana mkuu
 
Leo nimeamini Bebii ni Kigoma mwisho wa reli!
 
To be sincere nahisi Bebii nia na lengo lake apate picha halisi ya The Finest,bila shaka keshajaribu tactic zote za kupitia PM imeshindikana.leo utampata tu.
 
to be sincere nahisi bebii nia na lengo lake apate picha halisi ya the finest,bila shaka keshajaribu tactic zote za kupitia pm imeshindikana.leo utampata tu.
daaah bishanga nipo sirias naona hamna shida tf mbona namjua sana tena niko nae hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…