MMU special offer

Mkuu upo?......vip umeaaply hii offer ya da bebiii

mkuu nipo mkuu ...asee hii kazi mi siqualify kabisa...nawaaachie nyie bana.....mi profession yangu tofauti kabisa...hata ODM hapa ni noo
 
mkuu nipo mkuu ...asee hii kazi mi siqualify kabisa...nawaaachie nyie bana.....mi profession yangu tofauti kabisa...hata odm hapa ni noo
kwani proffesion yako ni ipi naweza kukupa kaupendeleo atii?
 
kumbe nimekosea eeeh nitakuwa siwapi tena madeal hapa

sidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Naomba e mail yako pse.
 
To be sincere nahisi Bebii nia na lengo lake apate picha halisi ya The Finest,bila shaka keshajaribu tactic zote za kupitia PM imeshindikana.leo utampata tu.
Lol......

daaah bishanga nipo sirias naona hamna shida tf mbona namjua sana tena niko nae hapa
:lol::lol::eyebrows:

kwa ajili yako naongeza masaa mawili
Unajua hizi PM huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa PAW au imeenda kwenye ki-button cha REPORT ABUSE, masaa mawili tukutane Holiday Inn

utasema kila kitu leo,TF jana mbona nimemwona Dubai na Husninyo,karudi Dar sa ngapi?
Hayaaa.....Bishanga
 
lol......


:lol::lol::eyebrows:


Unajua hizi pm huwa zinachanganyikiwa saa zingine unaweza kushtukia badala ya kuja kwako imeenda kwa paw au imeenda kwenye ki-button cha report abuse, masaa mawili tukutane holiday inn


hayaaa.....bishanga
haya bwana
 
nalitoka kidogo kutafuta picha ehe ebu nifunze jinsi ya ku-attach
 
Bebii mjanja...
Anataka kuwachunguza wakaka wa JF bila taarifa.

Kwa picha atajua nani anaonekana vipi ...MVUTO MUHIMU.
Kwa CV atajua nani amesoma mpaka daraja lipi...KISOMO MUHIMU na UMRI.
Barua atajua uwezo wako wa kujieleza na experience....UJANJA MUHIMU.

Akishajua hayo anarudi kwenye ile list ya waliotupa ndoano kuangalia nano anakidhi vigezo na nani hakidhi vigezo.
LOLZ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…