MMU thread ya kufungia mwaka

Ha ha ha, you are starting to loose it.
babu bashaija weeee

 
He he he he, naona umerudi kundini kuanzia kiunoni kwenda juu
huku kwengine naamini tunaweza endelea na mazungumzo yetu ya memorandam of understanding

Natamani nikuchumbie jamani kongosho.
 
nahisi bishanga kaangukiwa na pepo. Tunahitaji kufunga na kusali kumwombea. Sawa mpendwa katika bwana?
Kweli kabisa mtumishi bishanga ana mapepo mengi ila nimemwambia ili mapepo yaweze kutoka anapaswa kuleta vitu vifuatavyo VX V8 ya 2012, Hati Ya Kiwanja kilichopimwa, tiketi zetu mbili za kwenda na kurudi Ufaransa amesema atavileta Jumapili kwenye maombi maalumu mtumishi aendelea kukemea mapepo ili huyu mwanakondoo Bishanga arudi kwenye huduma ya bwana..
 
hivi kanisa lenu limesajiliwa? Nahisi kaarufu kaumagumash hapa!
 
We thubutu yako.... Unadhani simjui vema Bishanga?.. Anajifanya hana mkuki ila ujue hana haramu huyo..
tafadhali SL! Bishanga siiiiiiiina lolote mie,hata nikiimbiwa 'simama dede' hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…