MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

karibu,natangulia buibui,usisahau kitendea kazi(of course just in case si unajua hata kwenye ndege huwa kuna kisanduku cha oxygen?).
Lol.... Ngastuka na machale kunidesa wewe utakuwa mzima wa afya.
 
Ha ha ha, labda kama wataka kuwa sweetmoney
si unajua wa moyo ni mmoja
ila I can still accomodate some

Huyo SL anataka kunipeperushia kiloba cha asali nimetua mabegi ya mapenzi kwa kongosho.
 
Usimtishe
nimefungua kituo cha kulea watoto wakubwa wa hiari
wasio na wamiliki

jamani caring is sharing kidogo tulichonacho
we have limited resource, tukisema tusipeane kidogokidogo wengine watakufa

So ukaona unaweza kupumzikia kwa kongosho eeh? Usijesema haukuonywa!
 
Lol.... Ngastuka na machale kunidesa wewe utakuwa mzima wa afya.

we njo bana ni demo tu,nakuonyesha kapenseli kangu then haoooo tunawahi full gospel kwa TF,it is only 8pm,au unataka ni cancel mpango wa paris?
 
Back
Top Bottom