Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
hebu mwacheni my sweetlegs Rejao
ila sweetheart wangu yuko palepale (***)
Khaaaa mama yangu siamini macho yangu lazizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu mwacheni my sweetlegs Rejao
ila sweetheart wangu yuko palepale (***)
Nitakuja tujaribu kuimba kwa vitendo...tafadhali SL! Bishanga siiiiiiiina lolote mie,hata nikiimbiwa 'simama dede' hamna kitu.
Hujipendi au umechoka kuishi?
we Fidel wewe,Kongosho ni She au He?ushatafiti vya kutosha?
Shauri zako sauti ya bwana inakuita unaanza kuuliza maswali..hivi kanisa lenu limesajiliwa? Nahisi kaarufu kaumagumash hapa!
nasikia harufu ya damu!
Hujipendi au umechoka kuishi?
Natamani nikuchumbie jamani kongosho.
Kweli kabisa mtumishi bishanga ana mapepo mengi ila nimemwambia ili mapepo yaweze kutoka anapaswa kuleta vitu vifuatavyo VX V8 ya 2012, Hati Ya Kiwanja kilichopimwa, tiketi zetu mbili za kwenda na kurudi Ufaransa amesema atavileta Jumapili kwenye maombi maalumu mtumishi aendelea kukemea mapepo ili huyu mwanakondoo Bishanga arudi kwenye huduma ya bwana..
So ukaona unaweza kupumzikia kwa kongosho eeh? Usijesema haukuonywa!Kwa nn shem? Kuishi kigumu nimechoka
Kweli kabisa mtumishi bishanga ana mapepo mengi ila nimemwambia ili mapepo yaweze kutoka anapaswa kuleta vitu vifuatavyo VX V8 ya 2012, Hati Ya Kiwanja kilichopimwa, tiketi zetu mbili za kwenda na kurudi Ufaransa amesema atavileta Jumapili kwenye maombi maalumu mtumishi aendelea kukemea mapepo ili huyu mwanakondoo Bishanga arudi kwenye huduma ya bwana..
Do you have any option?
Lazima unipende
my milk is very standing
So ukaona unaweza kupumzikia kwa kongosho eeh? Usijesema haukuonywa!
kongosho......lol.....kina kirefu bishanga mzee wa kabamia?????