MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Nina ulanzi na togwa grade one
inatuliza hisia zote za msimu
hasa zivumazo kutokea kusini kwenda kaskazini
huhitaji busu
Naomba lazizi unibusu na bapa la konyagi nitazinduka.
 
Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili

ndo mana leo anamlilia SL
acha hizo bana,muda huu niko buibui na SL ndo tunamalizia demo,ameridhika kwamba kweli Bishanga joka la kibisa hata uligeuze vipi.
 
Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili

ndo mana leo anamlilia SL
kongosho unaendaga jackies? Mmmmmhhhhh tusha collide basi hapo,nice place,napenda kuku wa kuchoma wa hapo.
 
Usijali, na uwezo wa kumfanyia mtu upasuaji bila nusu kaputi
na wala asisikie maumivu
sembuse ugumu wa kujitakia?
Hata kama una tight jeans moja
nina suluhisho
na hela ya kunipa utaipata

Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu.
 
Back
Top Bottom