MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Nitakuja tujaribu kuimba kwa vitendo...

karibu,natangulia buibui,usisahau kitendea kazi(of course just in case si unajua hata kwenye ndege huwa kuna kisanduku cha oxygen?).
 
Kweli kabisa mtumishi bishanga ana mapepo mengi ila nimemwambia ili mapepo yaweze kutoka anapaswa kuleta vitu vifuatavyo VX V8 ya 2012, Hati Ya Kiwanja kilichopimwa, tiketi zetu mbili za kwenda na kurudi Ufaransa amesema atavileta Jumapili kwenye maombi maalumu mtumishi aendelea kukemea mapepo ili huyu mwanakondoo Bishanga arudi kwenye huduma ya bwana..

Dogo naona umepata mchumba mlokole navyo kusoma katikati ya mistari dah.
 
Naomba niwe mpokea sadaka
i thwea ni mwaminifu kama morani kwa utamaduni wa kimasai
Kweli kabisa mtumishi bishanga ana mapepo mengi ila nimemwambia ili mapepo yaweze kutoka anapaswa kuleta vitu vifuatavyo VX V8 ya 2012, Hati Ya Kiwanja kilichopimwa, tiketi zetu mbili za kwenda na kurudi Ufaransa amesema atavileta Jumapili kwenye maombi maalumu mtumishi aendelea kukemea mapepo ili huyu mwanakondoo Bishanga arudi kwenye huduma ya bwana..
 
Shauri zako sauti ya bwana inakuita unaanza kuuliza maswali..

nakuja sasa hivi ngoja nimalizane na SL hapa buibui maramoja,ni demo tu haamini kuwa nina ka penseli,namwonyesha tu.
 
Back
Top Bottom