Fungasha asee....
Naomba lazizi unibusu na bapa la konyagi nitazinduka.
Sitajitoa kwaajili yako..mi ukitoka wewe SL jf nami najitoa!
Nitashindwa kumdhibiti kimahaba? Nataka nitue mabegi kwake ya mapenzi.
we mwache,akigeuziwa kibao ndo atajua jiji!
Hapa ngoza nisikilize ushauri wa wakubwa nabeba mabegi yangu ya mapenzi.
Naye ni eliza wa tegeta?
Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa.
rusha basi,halafu usisahau kumsifia Bishanga Abashaija kwa jinsi anavyom care eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wanawake wa mmu.
acha hizo bana,muda huu niko buibui na SL ndo tunamalizia demo,ameridhika kwamba kweli Bishanga joka la kibisa hata uligeuze vipi.Bishanga keshamjaza, nimemkuja Jackies masaki anakula mtori wa ndimu za pilipili
ndo mana leo anamlilia SL
Mimi yangu 'mjue mwanaume anayekupenda kwa dhati'. Ila kwa wadada tu. Lol.
Nimechukua bodaboda na kusepa fasta anataka mshiko wkt mm mgumu.
shemale wakti mi nshalamba? We nae!