kongosho!!!!
kongosho! Nshakwambia mi joka la kibisa sing'ati,ebo! Sasa haya ya kuonjeshwa yanatoka wapi?
wanadata vibaya hao
najuuuuuta kukionjesha
Ooooh,samawani bhana,nilisahau aiseeee!
msalimie jackie!
Umesamehewa.....!!
Enenda kwa amani na usirudie tena!!
No,sijishughulishi na mambo ya wanawake kwa muda mrefu sasa mpaka januari,kuna jamaa alijaribu akaambulia za uso!
Kongosho waweza kuzihurumia mbavu zangu japo kwa usiku huu tu? Lol.Kakua, anataka kunyoa
Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!
duuu. Sredi limekimbia hv? Nianzie wapi sasa?
Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!
No,sijishughulishi na mambo ya wanawake kwa muda mrefu sasa mpaka januari,kuna jamaa alijaribu akaambulia za uso!
mwezi january ndo inakuwaje Eiyer? Ndo unaanza kutafuta mcumba?
aaah nin?
teh,teh,teh,teh sijui hujatuona vijana wa shoka!