MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Yaani wewe ndo bozo
hao wakali ndo tunawapenda
maana wengine wanamwogopa

unamlainisha kama mlenda tu
unasukumia na ugali

No,sijishughulishi na mambo ya wanawake kwa muda mrefu sasa mpaka januari,kuna jamaa alijaribu akaambulia za uso!
 
No,sijishughulishi na mambo ya wanawake kwa muda mrefu sasa mpaka januari,kuna jamaa alijaribu akaambulia za uso!
mwezi january ndo inakuwaje Eiyer? Ndo unaanza kutafuta mcumba?
 
Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!

Mradi tu asirudie........siku nyingine nitamnywesha bichi bichi......!!!
 
wakimt.a.h.i.r.i wamemhurumia
wanamkeketa kabisa
tena bila ngariba

Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!
 
Tu vijana tuna raha yake
ila mie hutufananisha na ubuyu
tutamuuu na marangi mengi kuonesha umatula

nakuibia siri: mtu mzima halali kwa ubuyu, huto ni twa kupotezea muda tukiwa tunasubiri cha usiku

teh,teh,teh,teh sijui hujatuona vijana wa shoka!
 
Back
Top Bottom