Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.
wamjua jackie weye? Na partner wake je ? Kuna mmoja hapo nataka kumuWoWa.
Usisahau kumleta Mwali nimfanyie maombezi Bishanga mapepo yake karibia yanatoka...Wee mwali, hebu rudi chumbani
kuna mibazazi inakunyemelea
hasa bishanga na eiyer
kwa post hii,ina maana wewe ni He?
breaking news:Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.
Yaani wewe unafanya makusudi kwa sababu kuna neno samahani eeeh??
Utatembelea miguu mitatu ghafla alafu nione kama utawapata....lol!!!
Amani ya Bwana Iwe Nanyi...
Usisahau kumleta Mwali nimfanyie maombezi Bishanga mapepo yake karibia yanatoka...
Unajua mapepo ya Bishanga hayajatoka kwahiyo bado anaweweseka...kwani hakuna wavulana wakali
kama mchungaji the Finest
sio shosti bana,ni mai waif wangu,embu tulia heshimu ndoa za watu na wewe! Kha!
Nimemtoa Bishanga, Sweetlady, Boss na waumini wengine 70...Umetoa pepo wangapi?
Nyie ndo mnaowaombea mkiwa vyumbani
Karibu kwenye mkesha wa kuombewa usikose...njoo uombewe na Mchungaji TF&Husninyo...Heshima gani wakati nyie wenyewe teyari mlishakosaena???
Wan'chekesha!!
Unajua mapepo ya Bishanga hayajatoka kwahiyo bado anaweweseka...
Nimemtoa Bishanga, Sweetlady, Boss na waumini wengine 70...
Na wewe uje usiku huu nikuombee..duh, anaweweseka vibaya huyo
hadi anarusha mateke na magumi
Na wewe uje usiku huu nikuombee..