Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Wee mwali, hebu rudi chumbani
kuna mibazazi inakunyemelea
hasa bishanga na eiyer
kuna mibazazi inakunyemelea
hasa bishanga na eiyer
Thread ya kufungia mwaka itakua ni "live and free counselling" kwa wana MMU wote. Yaani swali lolote kuhusu MMU we unamwaga tu, special counselor anakujibu live! Kuna member anafanya hivo via PM... ataanzisha thread, ngojeni muone.