MMU thread ya kufungia mwaka

Umeona eeeh? (ila tu niharakishe kusema skin jeans yenyewe ipo kwangu....lol)
Nimeona my wifi....

hakuna shida kama kaileta hapo kwako, vile nna mpango wa kutembelea huko kwenu kesho, ntaichukua manake bht hashindwi kuja kuiazima tena....alivovaa na kile kitopu si uliona ilivomtoa?...
 
Am telling you Kimbweka hua ananichanganya mpaka basi! ilibidi nimuulize maana Khaaa! (umewahi waona binti zake? lol)
Tumezoea kuona sredi za kule hazimaliz hata page moja..lakini sredi yako imegonga post zaid ya mia!! Kwa kweli kwenye lile jukwaa sredi yako ndiyo ya kufungia mwaka. Mwenye kubisha na abishe!!!
 
Nimefurahi kusikia hivo dear.... Afya yangu mwanana Mungu Mkubwa nipo pouwa kabisa....

Bht nikutakie maandalizi mema ya holidays.... Alafu acha kupotea hivo bana!

shokran Asha, na wewe kila lililo la kheri kwako...
 
Nimeona my wifi....

hakuna shida kama kaileta hapo kwako, vile nna mpango wa kutembelea huko kwenu kesho, ntaichukua manake bht hashindwi kuja kuiazima tena....alivovaa na kile kitopu si uliona ilivomtoa?...

Utanisamehe wifi... Siku hio nimevaa hio kakako alinidaka juu juu.... Nimeiweka, siku nikiwa na mzuka navaa nikijua karibu anarudi home... Bht kaiganda lakini ndo hivo mnisamehe wajameni.....lol
 
Tumezoea kuona sredi za kule hazimaliz hata page moja..lakini sredi yako imegonga post zaid ya mia!! Kwa kweli kwenye lile jukwaa sredi yako ndiyo ya kufungia mwaka. Mwenye kubisha na abishe!!!

hahahaha.... Rejao my brother.... Huishi nisifia.... THANK YOU. But ipo educative na Kimbweka alifunguka... Umeisoma yooote? Kama hujasoma narecommend usome
 
hahahaha.... Rejao my brother.... Huishi nisifia.... THANK YOU. But ipo educative na Kimbweka alifunguka... Umeisoma yooote? Kama hujasoma narecommend usome
Nimeipitia..sema hapa napata tabu cuz natumia simu mchina..nashindwa kuaccess JF kwa kupitia PC yangu
 
mtu ajilete aone, tunamkodishia na mdumange na maturumbeta

aah huyu fundi Ali chirimeni yangu kaiharibu bana nanunua kitenge cha zaire kesho...lol
Hahaha! Afu upeleke kwa yule fundi mwingine pale maeneo ya soko kuu....jina limentoka bana. Mwambie hilo gauni la kitenge aweke mikanda, afu ashone sio refu wala sio fupi yaani lipo kati kati ya miguu... Huku tunaita heshima debe...lol.
 
Nimeipitia..sema hapa napata tabu cuz natumia simu mchina..nashindwa kuaccess JF kwa kupitia PC yangu

Usijali.... Soon utarudi to your normal self....

BTW Vipi iweje huwezi kwa PC... Umepoteza Modem? lol
 
TF mwenyewe ndo kasema jamani.........LOL!!!
Mchungaji msimuweke kwenye majaribu
utapeli mchana...mmh!!
sina hati mwenzio jaribu kwengine....lol!!!
nimezoea nokia ya kitochi blakiberi hainifai. (itakua ovasaizi yangu)
Shauri zako hautaki kufuata njia za bwana usiseme kwamba sikukwambia kuhusu neno la bwana
Anaomba hao wawili
Wamchangie kumchojoa
Lugha za kisasa hivi utaziweza
Mie nimemwambia TF anamtosha kabisa
Ubarikiwe na bwana akutie nguvu
mmmh.......huyu baba mchungaji nae???
Karibu kwenye ibada leo jioni usisahau kuja na ile Range Rover yako kama sadaka na ile hati ya kiwanja kama fungu la kumi..bwana azidi kukubariki
TF mbona anasema wewe ndo ulim-Pm na kumwambia hii kitu?
Kondoo wangu wote sio watukutu sana wanafuata nyendo zitakazowapeleka mbinguni
Vipi PA ule msimamo wako wa kuoa utakua pale pale ikiwa hivo? lol GOD Forbid!!
:shock::shock:
Bishanga nakutafuta..
Ukirudi nitafute 😛oa
Ni marufuku kufanya mawasiliano na Bishanga hivi wewe kwanini hautaki kuelewa lakini
 
@ The Finest naomba sababu ya kunikataza kutokuwasiliana na Bishanga
 
Usijali.... Soon utarudi to your normal self....

BTW Vipi iweje huwezi kwa PC... Umepoteza Modem? lol
Modem ipo ok..but kila saa nikilog in JF inaniambia server is taking too long to respond. Site nyingine nazipata bila matatizo
 
Modem ipo ok..but kila saa nikilog in JF inaniambia server is taking too long to respond. Site nyingine nazipata bila matatizo

Nenda Forum ya "Tech and Gadgets" kaeleze tatizo lako.... Jamaa wapo so reliable, utajua tatizo lako in no time at all.....
 
ukitanga cha uvunguni sharti uiname, toa vitu upate vitu nataka niuanzishe huu uzi sijui niupeleke moja kwa moja kule bondeni au niulete hapa then nisubirie moderator waumuvuzishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…