sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Nimeona my wifi....Umeona eeeh? (ila tu niharakishe kusema skin jeans yenyewe ipo kwangu....lol)
hakuna shida kama kaileta hapo kwako, vile nna mpango wa kutembelea huko kwenu kesho, ntaichukua manake bht hashindwi kuja kuiazima tena....alivovaa na kile kitopu si uliona ilivomtoa?...