Mchungaji msimuweke kwenye majaribu
Shauri zako hautaki kufuata njia za bwana usiseme kwamba sikukwambia kuhusu neno la bwana
Ubarikiwe na bwana akutie nguvu
Karibu kwenye ibada leo jioni usisahau kuja na ile Range Rover yako kama sadaka na ile hati ya kiwanja kama fungu la kumi..bwana azidi kukubariki
Kondoo wangu wote sio watukutu sana wanafuata nyendo zitakazowapeleka mbinguni
:shock::shock:
Ni marufuku kufanya mawasiliano na Bishanga hivi wewe kwanini hautaki kuelewa lakini
Wapi?? Inaonyesha ni wewe
nitakuwa wa kwanza kuchangia,ukipenda kula uwe tayari kuliwa,hahahaaukitanga cha uvunguni sharti uiname, toa vitu upate vitu nataka niuanzishe huu uzi sijui niupeleke moja kwa moja kule bondeni au niulete hapa then nisubirie moderator waumuvuzishe
du! Alokwambia Asha yuko bongo nani?kama yuko kualalumpar au hawaii?
tupo kwenye kikao cha harusi ya Bishanga abashaija na Eliza wa Tegeta (remember that formidable lady?)
He he he he Eliza ni mwanaume wewe shauri yako
didiz si pale opposite na jackies? Nitakuja jioni,ukiona mtu analamba henken kwa fujo basi jua ni mie kibosile wa kihaya.Ngoja niende Jackies kabla foleni haijawa kubwa
Ugali nyama choma
Kama unapiga chamoto tuanze kuwa tunaenda DIDIZ basi
Bishanga si vaisi vesa,au hujui?
didiz si pale opposite na jackies? Nitakuja jioni,ukiona mtu analamba henken kwa fujo basi jua ni mie kibosile wa kihaya.