we naye uko kama kibajaj ambulens
unahudumia wajawazito wa mkoa mzima
Babu kashalewa hapaAaah,ODM yuko na Rocky wanakunywa maji ya mende,temana nae huyo!Nimeshabip hebu toka nje uone!!
Namjulia khali tu umemwona wifi yako sweetlady?
Kuna mtaa nimemuona
Nakuogopa kama ukoma nasikia hushikiki.
Babu kashalewa hapa
Halafu hataki kwenda nyumbani anadai anamtaka SL aje hapa amnunulie bia
Nimekuja! Nani kakuchokoza hapa?Namjulia khali tu umemwona wifi yako sweetlady?
Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.Babu kashalewa hapa
Halafu hataki kwenda nyumbani anadai anamtaka SL aje hapa amnunulie bia
mbona sikuoni jackies? au uko upande wa pili didi's?
mimi hapa,unasemaje sasa?
Kongosho nani atapikia watoto?ndo natoka kwa ofisi, niko mataa ya st peter.
Naanzia didiz nakula afu napita Q-bar kuna cocktail moja huwa naipenda hapo afu kuanzia saa tatu nikute George & Dragon
Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.
Afu na wewe ndio nini kupotea hivi? Nimekununia.
Kongosho nani atapikia watoto?
Babu Asprin hapaDuh, babu gani huyo
hakika atakuwa anataka kung'olewa mvi na prize
Dini yangu inankataza kununulia watu bia, kama anakunywa fanta sawa.
Afu na wewe ndio nini kupotea hivi? Nimekununia.
Wewe! Mpeleke mlangoni kwa Eliza wa Tegeta...mie na walevi mbali mbali..Babu Asprin hapa
Anakunywa heinken halafu mara hakumbuki kuwa anakunywa nini kaanza kufakamia konyagi
Akilewa namleta kwa SL mlangoni hapo namwacha