Mahabubaaa,mswaki wa moyo wangu!karibu sana. Mmefanikiwa kurudisha c***za watu wote mlio watoa mapepo??Bishanga naona utakua umeshapata jibu la swali lako.
Mama tuli umeamkaje?
Mimi tena??...lol. Rejao hashindwi kitu bana!!Nikijiachia,utaniweza?
jana mbona nimekuja Geoorge n Dragon sijakuona? Au wewe ndo kale kachangu niliona kamebana na kibabu kizungu hakina hata meno?
una mambo weye!karibu basi kunduchi beach tujichane mikuku na mi henkenmi yule nilikuwa na kichwa kama sambusa
na kikaptura ya bluu
kibabu mbona kilikuwa na meno?
Kiliweza kulamba mhogo japo kuutafuna ilikuwa shughuli
ila kalinipa mipaundi
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.
mambo shem?x mass wapi?
Poa shem, xmas pale pale pa siku zote. Usikose shemeji.mambo shem?x mass wapi?
Khaaa...kongosho usimbamize tafadhali, namtegemea sana tar 25...Nisipokuona jackies leo, nakubamiza
Halafu wewe nikikukamata?? @ bishanga soma mailPoa shem, xmas pale pale pa siku zote. Usikose shemeji.
Khaaa...kongosho usimbamize tafadhali, namtegemea sana tar 25...
Jamani ex-mas imeahirishwa!mpaka mwakani!!!kwa maelezo zaidi piga 111111111!