MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Mahabubaaa,mswaki wa moyo wangu!karibu sana. Mmefanikiwa kurudisha c***za watu wote mlio watoa mapepo??Bishanga naona utakua umeshapata jibu la swali lako.

Mahabuba niko salama kabisa
Nilikumiss mbaya sana
Tumerudisha kila kitu na watu wamepone sana mapepo.
Tunamsubiri Bishanga atuletee lile vogue lake na kale kaprado tutembelee
 
Mahabuba niko salama kabisa
Nilikumiss mbaya sana
Tumerudisha kila kitu na watu wamepone sana mapepo.
Tunamsubiri Bishanga atuletee lile vogue lake na kale kaprado tutembelee

TF nshamshtukia na ka kanisa kake na Husn,lol!
 
mi yule nilikuwa na kichwa kama sambusa
na kikaptura ya bluu
kibabu mbona kilikuwa na meno?
Kiliweza kulamba mhogo japo kuutafuna ilikuwa shughuli

ila kalinipa mipaundi

jana mbona nimekuja Geoorge n Dragon sijakuona? Au wewe ndo kale kachangu niliona kamebana na kibabu kizungu hakina hata meno?
 
mi yule nilikuwa na kichwa kama sambusa
na kikaptura ya bluu
kibabu mbona kilikuwa na meno?
Kiliweza kulamba mhogo japo kuutafuna ilikuwa shughuli

ila kalinipa mipaundi
una mambo weye!karibu basi kunduchi beach tujichane mikuku na mi henken
 
Awali ya yote niwashukuru kwa michango yenu na kuwatakia kipindi chema cha kumalizia mwaka.
Ombi kwa wadau wa mmu:
Hebu jikunjeni hapa mmwage uzi mzito wa kufungia mwaka yaani uwe pasua kichwa mpaka wachangiaji vichwa vichemke.
Mimi naandaa wa kwangu,title:
'Ukitaka kutongoza mke wa mtu tumia mbinu hizi'.

title ya mada ni nzuri ila ingekuwa nzuri zaidi kama ingesomeka hivi:
"UKITAKA MKE WA MTU AKUPE MAPENZI AU AMUACHE KABISA MUMEWE INABIDI UTUMIE MBINU HIZI NA UWE NA SIFA ZIFUATAZO"
 
Jamani ex-mas imeahirishwa!mpaka mwakani!!!kwa maelezo zaidi piga 111111111!
 
Back
Top Bottom